Jamaa nilipiga nae kwata pale Ruvu JKT miaka ile ya 83/84. Alikuwa mtu safi sana ila kifo akijui hayo................may be angekuwa fisadi la kutupa...... no body knows lakini alikuwa kijana powa.
Jamaa ni mpiganaji alikuwa gangwe mfano alikuwa Mtu waaisee jamaa walimchagua tu ccm wakampa mambo malecela alikataa tamaa sana na ccm kwa wakati huo akijua yeye next
Mungu akuweke I.M pema peponi
sawa hata mimi nasikitika sana kwa kifo chake. Ila mbona mafanikio yake ya kijamii ambayo kama ni mazuri hayatajwi?
Mchangiaji anasema alikuwa mtu wa watu halafu hafafanui wala hata kutaja mafanikio yake. Nakupa mfano mtu anaposema mtu wa watu. Ehud Barak ambaye kwa sasa ni waziri mkuu-1972 akiwa na miaka 19 aliwaokoa waisrael 200 waliokuwa ndani ya ndege ya sabena iliyotekwa nyara mjini tel aviv. 1973 alikuwa shujaa , aliongoza vizuri kikosi cha vifaru na ni mmoja wa makomando waliosababisha kukomboa mfereji huo. Mwaka 1976 alishiriki katika kikosi cha makomandoo wa Israel walikwenda kuwaokoa ndugu zao pale entebe. Yeyey ndiye aliyechukua uongozi mara baada ya netanyahu kupigwa risasi. hapo alipata medali ya ushujaa pale entebe. Hapo nimekufafanulia vizuri sifa za Ehud na hata wewe mwenyewe umemfahamu vizuri na kumpenda.
Sasa unapotaka watu tukuunge mkono kuhusu Ippy na ushujaa wake huna budi kufafanua accomplishments zake kwa umma. kama ni nzuri, tupo tayari hata kumpatia jina katika mitaa mbali mbali ili akumbukwe daima.
Ndugu hiyo 83/84 jamaa ndio alikuwa standard seven Obey....hao watakuwa ndugu zake!Jamaa nilipiga nae kwata pale Ruvu JKT miaka ile ya 83/84. Alikuwa mtu safi sana ila kifo akijui hayo................may be angekuwa fisadi la kutupa...... no body knows lakini alikuwa kijana powa.
Jamaa nilipiga nae kwata pale Ruvu JKT miaka ile ya 83/84. Alikuwa mtu safi sana ila kifo akijui hayo................may be angekuwa fisadi la kutupa...... no body knows lakini alikuwa kijana powa.
Jamaa nilipiga nae kwata pale Ruvu JKT miaka ile ya 83/84. Alikuwa mtu safi sana ila kifo akijui hayo................may be angekuwa fisadi la kutupa...... no body knows lakini alikuwa kijana powa.
Jamaa alikuwa school mate wangu na rafiki highlands sec school iringa.baba yake mkuu mkoa.tulikuwa tunagombania vidada kwa kwenda mbele.rip rafiki

Simfahamu lakini nadhani kufa angali kijana ni pigo kwa Taifa lolote lile, kwani vijana hao ndio ambao future ya taifa inategemea; hasa kwa vile alikuwa ni kiongozi capable. Siku nyingi zimepiga kiasi kuwa majina nimeyasahu lakini mwaka 1981 nilikuwa jeshini Ruvu na mmoja wa watoto wa Malecela wakati akiwa waziri wa mawasiliano; alikuwa kijana mwungwana ingawa sina uhakika kama ndiye huyo.
Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu
Mungu amlaze mahala pema kijana Ippy. Nakumbuka kama alikuwa anajiandaa kigombea Uongozi UVCCM lakini akafariki ghafla.
Jamaa alikuwa school mate wangu na rafiki highlands sec school iringa.baba yake mkuu mkoa.tulikuwa tunagombania vidada kwa kwenda mbele.rip rafiki
Kaa la Moto, uliyepiga naye kwata hapo Ruvu 83/84 siye yeye bali ni kaka mtu aliyemaliza Tambaza PCM akaibuka na Div 1 kali na akajoin UDSM!.Jamaa nilipiga nae kwata pale Ruvu JKT miaka ile ya 83/84. Alikuwa mtu safi sana ila kifo akijui hayo................may be angekuwa fisadi la kutupa...... no body knows lakini alikuwa kijana powa.