Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,582
- Thread starter
- #21
Ripoti inaitwa Public goods,rents and Bussines in Tanzania , ya June 2011 iliyoandikwa na Brian Cooksey.
Nimebakia kulia hapa natafuta mabomu niingie nayo Magogoi au Niwafuate huko huko Dodoma nimalizane nao. Inauma kuona nchi yangu imegeuzwa kuwa mradi wa ccm na wageni huku ndugu zangu watanzania wakiteseka. Siku hiyo inakuja hapa nilipo nina hasira hata ya kwenda pale Lumbumba na kumalizana nao humo ndani.
Inauma kuona nchi yangu inaangamizwa na ccm
we are finished,magamba are suphoning this coutry like vimpires.i feel like shading tears.
Pole mkuu zoea tu hii hali, haya ndiyo maisha tumeyachaguaMacho yamejaa machozi, sasa sioni, ntarudi hasira zikiisha!
Soma hii sehemu ya ripoti ambayo imetolewa uone kwanini IPTL hawaondoki hapa nchini.
Despite similarities, the two power projects were quite different in nature. IPTL originated in a visit to Malaysia by Horace Kolimba, the CCM Secretary General and Minister of Planning, in June 1994. Mahathir Mohamed, the Malaysian Prime Minister actively promoted Malaysian companies in Africa, and provided covert support to finance CCM in the build up to the presidential and parliamentary elections of 1995.
It is widely believed that the bagman for the 1995 campaign contribution was CCM Treasurer Dr Abdallah Kigoda
ni ripoti ya power and politics in Tanzania 2011.
Kaazi kwelikweli
magamba you killing us
Magamba watatumaliza jamani
Ripoti inaitwa Public goods,rents and Bussines in Tanzania , ya June 2011 iliyoandikwa na Brian Cooksey.
Poleni watanzania, ila usivunje sheria.Nimebakia kulia hapa natafuta mabomu niingie nayo Magogoi au Niwafuate huko huko Dodoma nimalizane nao. Inauma kuona nchi yangu imegeuzwa kuwa mradi wa ccm na wageni huku ndugu zangu watanzania wakiteseka. Siku hiyo inakuja hapa nilipo nina hasira hata ya kwenda pale Lumbumba na kumalizana nao humo ndani.
Inauma kuona nchi yangu inaangamizwa na ccm