IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Mkuu mbona mimi nawaona kwenye nyuzi zinge
Alafu kwani wewe humu jf ni nani? Maana mpaka unapata kaujeuri ka kuwapangia watu nyuzi za kuchangia acha ukiraza mkuu njoo na hoja zenye mashiko ili watu tukuelewe na co hayo mambo unayo leta hapa jamvini
sema wewe kaka maana cc tunaonekana tumetumwa humu ndani wakati
 


Baelezee kamanda.. maana hawa watu uelewa wao ni mgumu kweli
 
Acheni umburula nyinyi. Mnatumika kupitiliza.

Siyo lazima wote tuwe na mawazo sawa, mimi kashfa iliyotengenezwa na Kafulila haijaniingia kwenye akili yangu kwangu bado hajatengeneza hoja analazimisha wakati ukweli upo wazi.
 
Siyo lazima wote tuwe na mawazo sawa, mimi kashfa iliyotengenezwa na Kafulila haijaniingia kwenye akili yangu kwangu bado hajatengeneza hoja analazimisha wakati ukweli upo wazi.

Kafulila anadai ana nyaraka zaidi ya 600 zinazothibitisha kuwa kuna ufisadi kwenye account ya escrow. Lakini lazima tutambue kuwa wakati kama huu ambao Kafulila anakosa support ya umma pamoja na viongozi wake wa kisiasa alitakiwa atoe hizo nyaraka zake ili umma utambue ushahidi wa kafulila ili umpe support. KAfulila tunasubiri nyaraka 600 ili tupambane kulia kwako kama hutoi hizo nyaraka UFYATE.
 
Ni wakati muafaka kwa CAG kutoa hiyo ripoti,maana sasa watu watatoana macho huku mtaani,Toa ripoti sasa kusudi mbivu na mbichi zifahamike.
 
Ni wakati muafaka kwa CAG kutoa hiyo ripoti,maana sasa watu watatoana macho huku mtaani,Toa ripoti sasa kusudi mbivu na mbichi zifahamike.

Kafulila anafahamu fika
kuanzia tangu kusaniwa kwa makubaliano ya
ESCROW Julai 5, 2006, TANESCO walikuwa
wanaendelea kupatiwa umeme kila siku, kwa
kiasi kilekile wanachokihitaji wao mpaka leo
hii na anajua kwamba, TANESCO walikuwa
hawailipi IPTL na badala yake fedha walikuwa
wanaziweka katika akaunti ya ESCROW, Je
Kafulila alitaka tuwape umeme bure TANESCO.
Je yeye anapofanya kazi bungeni halipwi?,
Anapokaa katika vikao vyake hapewi posho au
wanaomtuma kueneza uongo hawamlipi?.
Kafulile aache kutumika vibaya.
 
Duhh hii nchi imelaaniwa aisee, mwananchi hana mtetezi kabisa. Ningetegemea wananchi wawe upande wa Kafulila kuhoji uwizi wa huyu mdudu IPTL lakini wapi, ndo hao wameshanunuliwa kuitetea, wakao kama kumi hivi wanamshambulia kafulila kwa niaba ya majambazi haya. Tanzania,,,
 

kaka utamteteaje kwa mfano ?maana ana strng evidence against iptl
na changushangaza na yeye anawatu wake wanao mtumia ndoo maana watz wanamuona kama kituko
 

Kafulila hataaminika mpaka arudishe pesa za kina rostam,hata wabunge wenzake wamemkana sababu hyo
 

Umeona eenhe hapo patamu sana aissee
 

Mimi nakwambia katika hili kuna watu wanatumika vibaya
 

Nyaraka hutolewa mahakamani na hazianikwi magazetini. Ikiwa wana ubavu wampeleke Kafulila mahakamani uone watakavyoumbuliwa viongozi wa nchi hii.
 
wataelewa tu kama ni kweli au la,hapo sasa ndipo kafulila atavyojichimbia chini kwa haibu yake hiyo ya kuwadanganya watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…