mfalmeselemani
Member
- Sep 30, 2014
- 95
- 47
Hao IPTL wezi tu Kafulila yupo sahihi kama sio wezi kwanini wahisani wamekataa kutoa pesa mpaka uchunguzi wa jambo hili ukamilike
Mataifa wahisani wamechelewesha msaada wa kuipiga jeki bajeti ya Tanzania hadi pale uchunguzi kuhusu madai ya ufisadi katika sekta ya nishati utakapotolewa na hatua muafaka kuchukuliwa. Kundi la wahisani hao linalojumuisha Finland, Ujerumani, Uingereza, Norway, Sweden, Denmark, Kamisheni ya Umoja wa Ulaya, Ireland, Canada, Japan, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Afrika, hadi sasa wametoa kiasi cha dola milioni 69 kama sehemu ya ahadi ya msaada wa dola milioni 558 kukidhi mahitaji katika bajeti ya Tanzania. Je, unaunga mkono hatua hiyo ya wahisani?
Chanzo:DW (Kiswahili) ya tarehe 13 Octoba
Mjinga pekee ndo ataumia kusikia Wahisani wamekataa kutoa pesa,..Ndo mana maisha yetu tumeaachia wahisani hakuna kutukuza juhudi za ndani kuliendeleza Taifa kwa nguvu zetu wenyewe.Hao wamekataa kwa kuwa hawajajua kinachoendelea,hawajajua uhalisia upo vp kwenye hilo sakata,ndo mana wamepisha uchunguzi sio kwamba wamekatisha hiyo misaada mnayoitegemea..Ukweli unabakia pale pale,hakuna pesa ya umma inayowekwa kwenye ESCROW account, hizo ni pesa za malipo ya chochote inayohifadhiwa kupisha mgogoro unaoendelea,wala sio mali ya serikali..
Soma gazeti la 'RAIA MWEMA' la leo 22/10/2014, kisha ,urudi kujibu hapaKafulila anaposema Singasinga Seth haruhusiwi kufanya biashara Kenya, wakati Singasinga huyo huyo, ameshapewa kibali cha kuzalisha umeme na kuuza Kenya ikiwa ni mara 20 zaidi anayozalisha Tanzania, Hivyo ni kichaa pekee anayeweza kuamini upuuzi huu wa Kafulila.
Soma gazeti la 'RAIA MWEMA' la leo 22/10/2014, kisha ,urudi kujibu hapa
Soma gazeti la 'RAIA MWEMA' la leo 22/10/2014, kisha ,urudi kujibu hapa
Kafulila aanze kutafuta fidia ya IPTL mapema, maana kwenye hili kashachemsha!
kweli kabisa mkuu....kama amehongwa bilion 3.1 basi ajitayarishe kulipa fidia ya bilioni 5.6.
kweli kabisa mkuu lazima alipe fidia kwa ujinga wake mwenyewe wa kukubali kurubuniwa na mafisadi.
Kafulila aanze kutafuta fidia ya IPTL mapema, maana kwenye hili kashachemsha!
kafulira sio mjinga kihivyo
IPTL wezi tu na wote mnaoitetea ni wapumbavu sana hamna hata uzalendo kwa nchi yenu basi hizo pesa mnazolipwa kuwatetea IPTL na iwe laana kwenu na watoto wenu,msifanikiwe na daima vizazi kwenu visiwe na amani
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014
http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html
IPTL wezi tu na wote mnaoitetea ni wapumbavu sana hamna hata uzalendo kwa nchi yenu basi hizo pesa mnazolipwa kuwatetea IPTL na iwe laana kwenu na watoto wenu,msifanikiwe na daima vizazi kwenu visiwe na amani
Kweli wezi ni wezi, mini kinachowataabisha, subirini hukumu ya wananchi.
kafulira sio mjinga kihivyo
Kweli wezi ni wezi, mini kinachowataabisha, subirini hukumu ya wananchi.
Hukumu ipi tena,kwani kuna kesi
Soma gazeti la 'RAIA MWEMA' la leo 22/10/2014, kisha ,urudi kujibu hapa