PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
umeona mkuu kama story anachanganya mwenyee jamaastory unachanganya mwenyewe mkuu,story kuu ni kafulila arudishe pesa za watu mafisadi alizokula halafu mjadala uendelee
Kafulila pole sana mkuu utaumbuka sana
sana tu unless arudi na kuwataka radhi watanzania
yaa mkuu maana hii issue mwisho wake jamaa ataumbuka vibaya sana so it better akaja kwetu na kusema mapema kabisa kabla msala ujawa mkubwa sanaKweli mkuu aje tu atuombe radhi watanzania, minakuunga mkono. Au kama anazo zile nyaraka 600 basi aje atuonyeshe watanzania ili tupambane wote kuakikisha mafisadi wanachukuliwa hatua. Ila kama hana nyaraka aje tu atuome radhi watanzania.
ndio tumbili huyo siyo.....hatari sana.
Chamsingi ndugu yangu Kafulila wewe watake radhi tu
iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha
heshima yake kwa watanzania.huo ni ushauri wangu kwako la
sivyo utakuja umbuka mbaya.
Achaa kupotosha umma wewe
Tokeaa nianze kufatilia hapa naona amna kess hapa ni magumashi tu
kafulila achaa njaa mkuu
kweli kabisa huu niupotoshaji ambao unatakiwa kukemewa kabisa yani hii yote inatokana na ugomvi ulikuwepo kt ya wafanyabiashara wakubwa ambao wanawatumia wana siasa wachumia tumbo kama kafulila ili kupotosha umma ambacho kitu c kweli kabisaKumbe ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006, na VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa, Na kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya malaysia?sasa nadhani kitakuwa kimeeleweka kwa ufafanuzi huu,kazi kwenu sasa msioelewa.
mkuu matusu yametoka wap?Upumbavu wako peleka huko huko kwa mafisi na mapanya wenzio na utachonga hata IDs elfu lakini hutamzuia yeyote hapa kuandika kuhusu huu wizi wenu. Pumbaf mkubwa wee mxciuuuuuuu
Upumbavu wako peleka huko huko kwa mafisi na mapanya wenzio na utachonga hata IDs elfu lakini hutamzuia yeyote hapa kuandika kuhusu huu wizi wenu. Pumbaf mkubwa wee mxciuuuuuuu
kwani mkuu wewe huoni kashfa ya kafulila kutumika kwenye kuchafua iptl wakati hao anaowatumikia ni mafisadi papa
jaman hii midudu mnaitoa wapi wi naiogopa jaman ebu itoen humu jamani
mkuu kwani ripot lini naomba unijuzee kaka anguKuna watu wapo kazini kwenye hili swala la IPTL...Naona Singa Singa katoa kazi na dau la kutosha kwa watu wa mtandaoni....Wasubili Report ije Bungeni..
Naona ID zilezile ktk kutetea IPTL/PAPS
ahahahahahahahahahahahah shidaaaa mnooooo