PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
yan wewe mkaka ndoo hapo unaponichanganya mbona utuli kwenye hoja moja !!!!!!!!!!!!Mkuu Mani Hizo pesa ni bora tu wasizitoe maana kuna wizi mtakatifu utakaofanywa 2015 mkubwa kuliko hata wa EPA na ESCROW combined ili kufinance kampeni za MACCM na wengine kujichukulia pensheni yao mapema na wale vilaza watatu pale wizara ya fedha wizi huo utafanyika kirahisi sana.
Ona sasa ushaamisha hoja kwenye chaguzi za 2015