IPTL Katika Picha: Jamani Wanajali.

hakuna mgao pale mkuu wanachofanya ni kusaidia taasisi mbalimbali nasio mtu binafsi kama unavyo taka wewe
 
yale majina ya account ni taasisi au ni majina ya watu binafsi?
naona mkuu unachanganya mambo hapa!!!ebu nenda kasome au pitia tena mijadala hii toka mwanzo then urudi tena maana naona kama umekalilishwa vile au uwelewa wako mdogo msana
yale majina huliyo yaona wewe ni majina ya watu waliopewa pesa na VIP mkuu sio IPTL upo hapa???
VIP chini ya rugemalila alisha uza issa zake zamani kwa maana hiyo bwana rugemalila sio mmiliki tena wa IPTL na zile pesa alizokuwa anazigawa ni zake na sio za IPTL umenielewa wewe kichwa maji maana sio unatoka povu alafu ujui kitu kinacho kutoa povu
 

kwahiyo tibaijuka, maaskofu na wengine hawajapewa pesa za wizi bali ni za mtu binafsi baada ya kuuza shares zake.
 
ongeren iptl kwa kuwajali wa tanzania
hachaneni nao hao wachumia tumbo ambao wanataka kuwachafua tu na kuwaludisha nyuma katika harakati zenu za kimaendeleo kuwasaidia watanzania

We pendo kwani ni vibaya hata hao waliopewa si watanzania kama watanzania wengine nini shida
 

hapa ndiyo walichemsha kweli,katika mabilion yote wanatoa cocacola?watanzania kwishney habari zenu mnachezewa kama watoto
 
Dada Pendo, uwe unasoma ujumbe wako kabla ya kutuma. Unaandika makosa mengi sana.

Ila heshima mbele kwa saaana tu. Pamoja sana.

ongeren iptl kwa kuwajali wa tanzania
hachaneni nao hao wachumia tumbo ambao wanataka kuwachafua tu na kuwaludisha nyuma katika harakati zenu za kimaendeleo kuwasaidia watanzania

hacha tamaa kijana
 
ongeren iptl kwa kuwajali wa tanzania
hachaneni nao hao wachumia tumbo ambao wanataka kuwachafua tu na kuwaludisha nyuma katika harakati zenu za kimaendeleo kuwasaidia watanzania

Hela zilikuwa zina hang labda! Kwa wanaowafaham wafanyabiashara walivyo wagumu kugawa hela,kwa mara ya kwanza mfanyabiashara anamwaga hela kama pipi. Kaaaz kweli kweli.
 
Hela zilikuwa zina hang labda! Kwa wanaowafaham wafanyabiashara walivyo wagumu kugawa hela,kwa mara ya kwanza mfanyabiashara anamwaga hela kama pipi. Kaaaz kweli kweli.
mkuu sio wafanya biashara wote!!!! na usiusemee moyo wa mtu kila kila mtu anamaamuzi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…