Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,692
- 6,291
Hivi ilivamiwa kweli au ni mbinu tuWale walioipiga rita sio mchezo
Hivi ilivamiwa kweli au ni mbinu tuWale walioipiga rita sio mchezo
Yote yanawezekanaHivi ilivamiwa kweli au ni mbinu tu
Wale walioipiga rita sio mchezo
Ni kweliNaona vijana wanajitahidi lakin kudanganya





Prank
Mkuu heri ukaage kimya tu kama hujuo kitu lasivyo unaonekana mjinga...rudi tena darasani kasome maana ya domaon, branch zake na hizo website maana yake. UsiropokeHacker mbona unakuwa muongo muongo.
IPP media wanatumia domain ya
ippmedia.com na htttps wala sio http kama hiyo link uliyoeka.
Na website ipo live
Sasa kama umeshindwa kujua ipi ni tovuti halisi ya ipp utaweza kuhack kweli ww.
Hack ipp yenyewe halafu urudi tena sio hiyo tovuti mliotengeneza wenyewe.
Hapo nimeropoka lipi?Mkuu heri ukaage kimya tu kama hujuo kitu lasivyo unaonekana mjinga...rudi tena darasani kasome maana ya domaon, branch zake na hizo website maana yake. Usiropoke
Ni kweli kumbe coz sasa hii domain yenye .co.tz ina-redirect kwenda ippmedia.comippmedia.co.tz na. com zote ni domain za kampuni moja na zinashare servers
Hio main ippmedia.com now wamezima mitamboo wanafannya fixin nahisi
Server zote 2 mbili no response View attachment 1129827
Kabla kwel hujaongea inabid ujue unachokizungumzaNi kweli kumbe coz sasa hii domain yenye .co.tz ina-redirect kwenda ippmedia.com
Yah ila ni domain yao... Ndo maana hizo traffic zinakuchomoa from http kwenda https ila zote ni domain zao... Sema tu site ambayo wanaitumia wao kama maon ni hio. comNi kweli kumbe coz sasa hii domain yenye .co.tz ina-redirect kwenda ippmedia.com
hahahaahahahahWale walioipiga rita sio mchezo
wauni walitungua kweli aseeHivi ilivamiwa kweli au ni mbinu tu