chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,110
- 1,492
Dunia hii rafiki inapita upesi imefikia mwisho itaangamia! Luka 17:32
DŮNIA IMELAANIWA na dhambi za wanadamu, leo Lecturer UDOM amefumaniwa akitaka ofa kwa college girl, hii si laaana, just imagine umepewa nafasi huudumie watu wewe unahumiza watu, umepewa nafasi uwaponye watu wewe unahumiza watu! Tunaelekea wapi?
ISAYA 24:4-6; 19-20 !
DUNIA inaomboleza, ulimwengu umedhoofika, unazimia, watu wakuu wa dunia wanadhoofika.
Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa.Kwa maana wameiasi sheria;wameibadili amri; wamelivunja Agano la milele. Ndiyo sababu laana imeila dunia hii; na hao wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia. Ndiyo sababu,watu waliosalia wakawa wachache tu.
DUNIA kuvunjika inavunjika,sana;
DUNIA kupasuka imepasuka sana;
DUNIA kutikisika, imetikisika sana;
DUNIA inalewalewa kama mlevi; Nayo inawayawaya kama kama machela;
Na mzigo wa dhambi yake utailemea;
Nayo itaanguka; wala haitainuka tena.
Hakika dunia imebakiza muda mchache sana,wa kangamizwa. 2Petro 3:10
miji ya SODOMA NA GOMORA iliangamizwa kwa,moto, kwasababu ya maovu,yaliyozidi.
Mauaji, ukatili,dhuluma na uonevu, uzinzi, ulawiti, ubakaji, ufiraji na,ushoga, usagaji, watu kufanya uzinzi na wanyama, ushirikina,na uchawi, chuki, anasa na starehe . Yote haya yalizidi na kuvukampaka.
Mwanzo 18:20-21.
Macho ya Mungu ni safi, hayakuweza kuendelea kuutazama uovu ule. AKAIANGAMIZA KWA,MOTO. Habakuki 1:13-14
Waonaje,mpendwa;dunia hii ya sasa?
Je, si zaidi ya Sodoma na Gomora?? 2Petro3:3-7; Luka 17:26-30
Hofu yangu kubwa, ni vile napo oonatumejisahau na tumejichanganya na Dunia Hosea7:8;
MADHARA YA KUJICHANGANYA NADUNIA
2 Wafalme 6:1-7.
1; Umepoteza furaha ya wokovu, naam!! Hata maombi nayo umepoteza(maombi ya mabubujiko )Kisima cha maji ya uzima ndani yako kimekauka.Yohana4:14; 7:37-39
2; Upendo wa mungu na lile Pendo la ndugu ,lililo kufanya uwe na bidii halimo,tena ndani yako. 2Korintho5:14 UMEPOAAA!!! Hushtuki ndugu?????
Hebu tazama sasa. Moyo wako umeuambatanisha na,dunia.Mtu akiipenda dunia , kumpenda Mungu hakuwezi kukakaa ndani yake.1Yohana2:15
Waebrania 2:3
3; Kichwa chako kimejaa mvi nawe huna habari?? HII NI HATARI! Hosea7:9
Amka sasa wewe usinziaye Waefeso 5:14
anakuja)1Korintho 16:22
JIPONYE NAFSI YAKO; usije ukapotea; Mwanzo19:17
Luka17:32