habari za majukumu wanajamvi,nina iPod classic kila nikiingiza nyimbo zinakua hazionekani kwenye playlist ila nikikonect PC na iPod naziona,Naomba kujuzwa nawezaje kuingiza nyimbo kweye hiyo iPod?
Wewe lazima utakuwa umeingiza hizo nyimbo kwa Computer moja kwa moja bila kutumia iTune na kwa njia hiyo hazitacheza kamwe. Tumia iTune kuingiza hizo nyimbo.