Hata Lowasa kabla hajamhonga hela mwenyekiti na genge lake, wengi tulizani hawezi kupitishwa kugombea hata udiwani, lkn baada ya kuhonga akapitishwa fasta fasta bila kupingwa agombee uraisi. Nyalandu 2020 alikuwa ashaongoza kura za maoni, ila baada ya kelele nyingi kutoka kwa wanachama, mwenyekiti na genge lake wakaona aibu na kumpitisha Lisu. So hata na polepole akija mambo yatakuwa yale yale ya Lowasa na Nyalandu.Ebu waombe radhi watanzania kwa kuwatusi.
Lowasa ni mwana ccm halali hivyo unavyo mtukana hapa unawavunjia heshima viongozi wako wa chama walio mrudisha ndani ya ccm.Hata Lowasa kabla hajamhonga hela mwenyekiti na genge lake, wengi tulizani hawezi kupitishwa kugombea hata udiwani, lkn baada ya kuhonga akapitishwa fasta fasta bila kupingwa agombee uraisi. Nyalandu 2020 alikuwa ashaongoza kura za maoni, ila baada ya kelele nyingi kutoka kwa wanachama, mwenyekiti na genge lake wakaona aibu na kumpitisha Lisu. So hata na polepole akija mambo yatakuwa yale yale ya Lowasa na Nyalandu.
Hahaha sisi huku kiongozi akifanya mambo ya hovyo tunamchana live, maana hakuna mtu wa kutu chacha wangwe.Lowasa ni mwana ccm halali hivyo unavyo mtukana hapa unawavunjia heshima viongozi wako wa chama walio mrudisha ndani ya ccm.