Elections 2010 Ipo wapi busara ya kikwete?

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
alishawahi kutoa kauli kwamba watoto wa shule za kata wanapata mimba tokana na kiherehere chao,waungwana tukajua mtu mzima alipitiwa na kuchukulia kama bahati mbaya,jana tena kwenye kampeni zake kaishiwa busara na kusema wanaopata ukimwi pia ni kiherehere chao,huo ni unyanyapaa mkubwa kwa wagonjwa wa ukimwi tokana na kauli yake,ipo wapi busara ya kikwete?
 
Ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako!! Amechanganyikiwa ingawa amepewa muda wa kupumua baada ya Slaa kupumzika kwa vikao vya ndani na bado moto mpya unawashwa huko Moro na kwingineko. Mimi namsubiri Slaa kwetu Ujiji ili tumchanganye Aiseee tena na aanguke asiinuke tena. Huku ndo kwa Juma Njemba bwana, njoo na akina Yahaya mia mbili utakiona cha mtema kuni.
Kikwete baiiii!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom