Ipo ukurasa wangapi?

Mamamkwe akajibu vp sasa
Usiharibu utamu wa joke kuulizia kitu ambacho kipo nje ya ucheshi wenyewe!
Kilele cha ucheshi (punchline) kipo kwenye jinsi jamaa anavyohangaika kutafuta dudu la bi harusi kwa kumenya makaratasi na kuulizia atalipataje dudu. Jibu la mamake bi harusi halihitajiki hata kidogo!
 
sure mzazi
 
Itakuwa akuambiwa geuza nyumba utauona mwanangu
 

Kwa lugha nyingine jibu utajaza mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…