Ipo Siku Wanaomtukana Matusi Rais Samia Watakuja Kulia Machozi ya Damu na Kumuomba Msamaha

Unamuomba Msamaha Mwanamke Muuaji!! We kweli kimba wewe.

She is definitely a tyrant and cold blood murderer.
Uncouth and shameless type of woman.
She's a Bloodthirsty kaffir, abductor and daylight killer.
Mbona wewe hujauwawa. Wewe ulitakiwa UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siku yaja Siku za Mbeleni ambapo Wanaomtukana Matusi Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu. Watalia na Kububujikwa na machozi ya Damu huku wakiwa wamepiga magoti ardhini na kumuomba Msamaha Rais wetu wakiwa huko huko waliko.

Najua Baadhi wanaongozwa na chuki tu Binafsi na wengine wanasombwa na kufuata tu mkumbo na wengine wanatumiwa na kutumika tu na baadhi ya watu maadui Wa RAIS wetu na Taifa letu kwa ujumla wake.

Wengine wanaongozwa tu na chuki binafsi zinazochangiwa na ubaguzi kwa misingi ya ukabila ,Udini ,ukanda na jinsia tu. Wengine ni kujikatia tu tamaa ya maisha wanajikuta wanakuwa na mahasira kana kwamba Rais Samia ndiye kuwasababishia umaskini wao. Wakati unakuta mwingine alichezea maisha na muda wake halafu leo anataka kuleta na kutolea hasira zake kwa Rais wetu Mpendwa.

Embu fikiria ndugu yangu unakuta mtu leo hii ana miaka 45 au 40 anaanza kumlaumu Rais Samia eti kuwa ndiye kusababisha yeye hana nyumba ya kuishi kwa sababu ya bei ya vifaa vya ujenzi . Unajiuliza miaka yake yote 45 aliyoishi hapa Duniani Rais Alikuwa Ni Mama Samia? Je Mama Samia ndiye angekuja kumjengea nyumba yeye ikiwa yeye ameshindwa kujenga kwa mikono yake katika uumri wake huo wa zaidi ya Miongo 4?

Unakuta mtu mwingine hana ajira na yupo mitaani Tangia 2015 halafu leo anaanza kumlaumu Rais Samia. Unajiuliza Je Rais Samia ndiye Alikuwa Rais wa Tanzania Tangia 2015? Je Amekuta wangapi hawana ajira ? Je nani asiyejua kuwa Rais Samia katoa Maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana ?

Mwingine anaweza kusema Alikuwa ni Makamu wa Rais. swali linakuja je Anayajua majukumu ya Makamu wa Rais kikatiba ? Je unayajua majukumu ya Rais kikatiba? Je unafikiri Makamu wa RAIS anaweza kutoa Amri kwa Rais kuwa atoe ajira kwa vijana ikiwa Rais yeye ajira siyo kipaumbele chake kwa wakati huo?

Ni mingapi mazuri na makubwa amefanya Rais wetu Mpendwa yaliyokuwa kiu ya watanzania na kila mmoja alitamani kuona ya kifanyika? Hivi mmesahau ya kuwa Mama yetu alikuta Taifa lina mgawanyiko mkubwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa? Mmesahauu ilifika wakati watu wanazikana kwa kuangalia aliyekufa ni wa chama kipi?

Mmesahauu kuwa alikuta hakuna habari za mikutano ya hadhara? Mnakumbuka kuwa alikuta kuna watanzania wamekimbia nchi? Mnakumbuka kuwa alikuta vijana wametapakaa mitaani na vyeti vyao vya shahada? Mnakumbuka kuwa alikuta vyombo mbalimbali vya habari ikiwepo magazeti yamefungiwa kufanya kazi zake?

Mnakumbuka alikuta kuna wafanyabiashara wengine wanaendelea kuhamisha biashara zao na kuzikimbizia nje ya Nchi? Mnakumbuka kuna wafanyabiashara walikuwa wanachotewa pesa zao kwenye akaunti zao? Mnakumbuka mangapi ambayo mlikuwa mnalialia na kutaka yafanyiwe marekebisho?

Ni nani aliyelileta Taifa pamoja mpaka watanzania kuanza kuzikana bila kujali itikadi za kisiasa wala Dini ya mtu? Si ni Mama yetu ndiye aliyekuja kuliunganisha Taifa letu? Si ni Mama yetu mpendwa ndiye aliyekuja kuwapa matumaini wafanyabishara? Si ni Mama yetu Mpendwa ndiye aliyefanya akina lissu, Godbless Lema na wengine wengi kurejea Nchini? Si ni Mama yetu Mpendwa aliyepiga marufuku mfanyabiashara kuchotewa pesa zake Bank? Si ni Mama aliyeanza kutoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana?

Si ni Rais Samia aliyeanza kuvifungulia vyombo vyote vya habari vilivyo fungiwa na kupokonywa leseni zao? Mnataka RAIS wetu awafanyie nini wenye Watanzania mpate kuridhika wenye mliokosa shukurani?

Nini na kipi hajafanya na Kugusa RAIS wetu Mpendwa? Kwanini tunataka kumvunja moyo Rais wetu Mpendwa? Kwanini tunakosa shukurani kiasi hicho? Tumesahau mara hii tulikotoka?

Mnaweza kusema ni chama gani kilikuwa madarakani? Jibu ni kuwa CCM ni chama kinachojisahihisha na kufanya marekebisho panapostahili na kuendana na mahitaji ya wakati na muda. Ni chama kinachosikiliza Sauti za watu. Ndio maana ya kuwa chama kiongozi Barani Afrika.

Kwa hakika ipo Siku wenye kumtukana Rais wetu Mpendwa watakuja kujutia na kuomba Rais wetu na mama yetu mpendwa aendelee kuliongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza muda wake wa kukaa kitini 2030.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3522411
Ni siku ipi hio?

Kwani ataishi milele?

Kumbuka msemo usemao, "Hakuna marefu yaso na ncha".
 
Wengine wanaongozwa tu na chuki binafsi zinazochangiwa na ubaguzi kwa misingi ya ukabila ,Udini ,ukanda na jinsia tu.
Kosa la kwanza
Unakuta mtu mwingine hana ajira na yupo mitaani Tangia 2015 halafu leo anaanza kumlaumu Rais Samia. Unajiuliza Je Rais Samia ndiye Alikuwa Rais wa Tanzania Tangia 2015?
Kosa la pili
Je unafikiri Makamu wa RAIS anaweza kutoa Amri kwa Rais kuwa atoe ajira kwa vijana ikiwa Rais yeye ajira siyo kipaumbele chake kwa wakati huo?
Hivi mfano, ikiwa nasema mfano si kwa imetokea, ikiwa alitumiwa na wabaya wa nchi kumdhoofisha Rais asitengeneze hizo Ajira, huoni kuwa alichangia kukwamisha upatikaji wa ajira?
 
Ipo siku yeye ndio atalia na kusaga meno kuomba msamaha watz aliowauwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siku yaja Siku za Mbeleni ambapo Wanaomtukana Matusi Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu. Watalia na Kububujikwa na machozi ya Damu huku wakiwa wamepiga magoti ardhini na kumuomba Msamaha Rais wetu wakiwa huko huko waliko.

Najua Baadhi wanaongozwa na chuki tu Binafsi na wengine wanasombwa na kufuata tu mkumbo na wengine wanatumiwa na kutumika tu na baadhi ya watu maadui Wa RAIS wetu na Taifa letu kwa ujumla wake.

Wengine wanaongozwa tu na chuki binafsi zinazochangiwa na ubaguzi kwa misingi ya ukabila ,Udini ,ukanda na jinsia tu. Wengine ni kujikatia tu tamaa ya maisha wanajikuta wanakuwa na mahasira kana kwamba Rais Samia ndiye kuwasababishia umaskini wao. Wakati unakuta mwingine alichezea maisha na muda wake halafu leo anataka kuleta na kutolea hasira zake kwa Rais wetu Mpendwa.

Embu fikiria ndugu yangu unakuta mtu leo hii ana miaka 45 au 40 anaanza kumlaumu Rais Samia eti kuwa ndiye kusababisha yeye hana nyumba ya kuishi kwa sababu ya bei ya vifaa vya ujenzi . Unajiuliza miaka yake yote 45 aliyoishi hapa Duniani Rais Alikuwa Ni Mama Samia? Je Mama Samia ndiye angekuja kumjengea nyumba yeye ikiwa yeye ameshindwa kujenga kwa mikono yake katika uumri wake huo wa zaidi ya Miongo 4?

Unakuta mtu mwingine hana ajira na yupo mitaani Tangia 2015 halafu leo anaanza kumlaumu Rais Samia. Unajiuliza Je Rais Samia ndiye Alikuwa Rais wa Tanzania Tangia 2015? Je Amekuta wangapi hawana ajira ? Je nani asiyejua kuwa Rais Samia katoa Maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana ?

Mwingine anaweza kusema Alikuwa ni Makamu wa Rais. swali linakuja je Anayajua majukumu ya Makamu wa Rais kikatiba ? Je unayajua majukumu ya Rais kikatiba? Je unafikiri Makamu wa RAIS anaweza kutoa Amri kwa Rais kuwa atoe ajira kwa vijana ikiwa Rais yeye ajira siyo kipaumbele chake kwa wakati huo?

Ni mingapi mazuri na makubwa amefanya Rais wetu Mpendwa yaliyokuwa kiu ya watanzania na kila mmoja alitamani kuona ya kifanyika? Hivi mmesahau ya kuwa Mama yetu alikuta Taifa lina mgawanyiko mkubwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa? Mmesahauu ilifika wakati watu wanazikana kwa kuangalia aliyekufa ni wa chama kipi?

Mmesahauu kuwa alikuta hakuna habari za mikutano ya hadhara? Mnakumbuka kuwa alikuta kuna watanzania wamekimbia nchi? Mnakumbuka kuwa alikuta vijana wametapakaa mitaani na vyeti vyao vya shahada? Mnakumbuka kuwa alikuta vyombo mbalimbali vya habari ikiwepo magazeti yamefungiwa kufanya kazi zake?

Mnakumbuka alikuta kuna wafanyabiashara wengine wanaendelea kuhamisha biashara zao na kuzikimbizia nje ya Nchi? Mnakumbuka kuna wafanyabiashara walikuwa wanachotewa pesa zao kwenye akaunti zao? Mnakumbuka mangapi ambayo mlikuwa mnalialia na kutaka yafanyiwe marekebisho?

Ni nani aliyelileta Taifa pamoja mpaka watanzania kuanza kuzikana bila kujali itikadi za kisiasa wala Dini ya mtu? Si ni Mama yetu ndiye aliyekuja kuliunganisha Taifa letu? Si ni Mama yetu mpendwa ndiye aliyekuja kuwapa matumaini wafanyabishara? Si ni Mama yetu Mpendwa ndiye aliyefanya akina lissu, Godbless Lema na wengine wengi kurejea Nchini? Si ni Mama yetu Mpendwa aliyepiga marufuku mfanyabiashara kuchotewa pesa zake Bank? Si ni Mama aliyeanza kutoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana?

Si ni Rais Samia aliyeanza kuvifungulia vyombo vyote vya habari vilivyo fungiwa na kupokonywa leseni zao? Mnataka RAIS wetu awafanyie nini wenye Watanzania mpate kuridhika wenye mliokosa shukurani?

Nini na kipi hajafanya na Kugusa RAIS wetu Mpendwa? Kwanini tunataka kumvunja moyo Rais wetu Mpendwa? Kwanini tunakosa shukurani kiasi hicho? Tumesahau mara hii tulikotoka?

Mnaweza kusema ni chama gani kilikuwa madarakani? Jibu ni kuwa CCM ni chama kinachojisahihisha na kufanya marekebisho panapostahili na kuendana na mahitaji ya wakati na muda. Ni chama kinachosikiliza Sauti za watu. Ndio maana ya kuwa chama kiongozi Barani Afrika.

Kwa hakika ipo Siku wenye kumtukana Rais wetu Mpendwa watakuja kujutia na kuomba Rais wetu na mama yetu mpendwa aendelee kuliongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza muda wake wa kukaa kitini 2030.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3522411
Ipo siku Samia atakuwepo mahali salama kama anavyoishi hivi kwa kujifichaficha
 
Moderator huyu lucas wa kumuangalia japo uhuru wa maoni ni kwamba wanajua huko wanachokifanya na kundi lao
 
Siku akifa naona itabidi na wewe ufe tu ili ukampe kampani huko kaburini. Uko obsessed na huyu mama kiasi cha kumwabudu na kumuona kama malaika. Na obsession ni ugonjwa wa akili sawa tu na waliobananishwa kwenye ma cults huko. Unahitaji msaada wa kitabibu kutoka kwa wataalamu wa magonjwa ya akili vinginevyo......

Screenshot_20250901-172332~2 (1).png
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siku yaja Siku za Mbeleni ambapo Wanaomtukana Matusi Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu. Watalia na Kububujikwa na machozi ya Damu huku wakiwa wamepiga magoti ardhini na kumuomba Msamaha Rais wetu wakiwa huko huko waliko.

Najua Baadhi wanaongozwa na chuki tu Binafsi na wengine wanasombwa na kufuata tu mkumbo na wengine wanatumiwa na kutumika tu na baadhi ya watu maadui Wa RAIS wetu na Taifa letu kwa ujumla wake.

Wengine wanaongozwa tu na chuki binafsi zinazochangiwa na ubaguzi kwa misingi ya ukabila ,Udini ,ukanda na jinsia tu. Wengine ni kujikatia tu tamaa ya maisha wanajikuta wanakuwa na mahasira kana kwamba Rais Samia ndiye kuwasababishia umaskini wao. Wakati unakuta mwingine alichezea maisha na muda wake halafu leo anataka kuleta na kutolea hasira zake kwa Rais wetu Mpendwa.

Embu fikiria ndugu yangu unakuta mtu leo hii ana miaka 45 au 40 anaanza kumlaumu Rais Samia eti kuwa ndiye kusababisha yeye hana nyumba ya kuishi kwa sababu ya bei ya vifaa vya ujenzi . Unajiuliza miaka yake yote 45 aliyoishi hapa Duniani Rais Alikuwa Ni Mama Samia? Je Mama Samia ndiye angekuja kumjengea nyumba yeye ikiwa yeye ameshindwa kujenga kwa mikono yake katika uumri wake huo wa zaidi ya Miongo 4?

Unakuta mtu mwingine hana ajira na yupo mitaani Tangia 2015 halafu leo anaanza kumlaumu Rais Samia. Unajiuliza Je Rais Samia ndiye Alikuwa Rais wa Tanzania Tangia 2015? Je Amekuta wangapi hawana ajira ? Je nani asiyejua kuwa Rais Samia katoa Maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana ?

Mwingine anaweza kusema Alikuwa ni Makamu wa Rais. swali linakuja je Anayajua majukumu ya Makamu wa Rais kikatiba ? Je unayajua majukumu ya Rais kikatiba? Je unafikiri Makamu wa RAIS anaweza kutoa Amri kwa Rais kuwa atoe ajira kwa vijana ikiwa Rais yeye ajira siyo kipaumbele chake kwa wakati huo?

Ni mingapi mazuri na makubwa amefanya Rais wetu Mpendwa yaliyokuwa kiu ya watanzania na kila mmoja alitamani kuona ya kifanyika? Hivi mmesahau ya kuwa Mama yetu alikuta Taifa lina mgawanyiko mkubwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa? Mmesahauu ilifika wakati watu wanazikana kwa kuangalia aliyekufa ni wa chama kipi?

Mmesahauu kuwa alikuta hakuna habari za mikutano ya hadhara? Mnakumbuka kuwa alikuta kuna watanzania wamekimbia nchi? Mnakumbuka kuwa alikuta vijana wametapakaa mitaani na vyeti vyao vya shahada? Mnakumbuka kuwa alikuta vyombo mbalimbali vya habari ikiwepo magazeti yamefungiwa kufanya kazi zake?

Mnakumbuka alikuta kuna wafanyabiashara wengine wanaendelea kuhamisha biashara zao na kuzikimbizia nje ya Nchi? Mnakumbuka kuna wafanyabiashara walikuwa wanachotewa pesa zao kwenye akaunti zao? Mnakumbuka mangapi ambayo mlikuwa mnalialia na kutaka yafanyiwe marekebisho?

Ni nani aliyelileta Taifa pamoja mpaka watanzania kuanza kuzikana bila kujali itikadi za kisiasa wala Dini ya mtu? Si ni Mama yetu ndiye aliyekuja kuliunganisha Taifa letu? Si ni Mama yetu mpendwa ndiye aliyekuja kuwapa matumaini wafanyabishara? Si ni Mama yetu Mpendwa ndiye aliyefanya akina lissu, Godbless Lema na wengine wengi kurejea Nchini? Si ni Mama yetu Mpendwa aliyepiga marufuku mfanyabiashara kuchotewa pesa zake Bank? Si ni Mama aliyeanza kutoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana?

Si ni Rais Samia aliyeanza kuvifungulia vyombo vyote vya habari vilivyo fungiwa na kupokonywa leseni zao? Mnataka RAIS wetu awafanyie nini wenye Watanzania mpate kuridhika wenye mliokosa shukurani?

Nini na kipi hajafanya na Kugusa RAIS wetu Mpendwa? Kwanini tunataka kumvunja moyo Rais wetu Mpendwa? Kwanini tunakosa shukurani kiasi hicho? Tumesahau mara hii tulikotoka?

Mnaweza kusema ni chama gani kilikuwa madarakani? Jibu ni kuwa CCM ni chama kinachojisahihisha na kufanya marekebisho panapostahili na kuendana na mahitaji ya wakati na muda. Ni chama kinachosikiliza Sauti za watu. Ndio maana ya kuwa chama kiongozi Barani Afrika.

Kwa hakika ipo Siku wenye kumtukana Rais wetu Mpendwa watakuja kujutia na kuomba Rais wetu na mama yetu mpendwa aendelee kuliongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza muda wake wa kukaa kitini 2030.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3522411
Nyie machawa ndiyo mtakuja kulia akishaondoka 2030.
 
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Kosa la kwanza

Kosa la pili

Hivi mfano, ikiwa nasema mfano si kwa imetokea, ikiwa alitumiwa na wabaya wa nchi kumdhoofisha Rais asitengeneze hizo Ajira, huoni kuwa alichangia kukwamisha upatikaji wa ajira?
Alikwamisha vipi upatikanaji wa ajira akiwa Makamu wa Rais?
 
Na ipo siku mnayemwinamia na kumsujudia huyu mama mtakuja kugundua kuwa kumbe mlikuwa mnashabikia na kushangilia mavi/kinyesi chenye harufu mbaya....

Si tu mavi, bali mlikuwa mkimshangilia na kumfagilia shetani mwenyewe ktk sura ya mwanadamu mwanamke mvaa ushungi...!!

Ukitaka kuelewa hili, mtafute Cyprian Musiba, yule aliyekuwa chawa mkuu wa CCM ya Magufuli na Samia 2016 - 2021 ndo utaelewa hiki ninachokuambia....

Uchawa wako wewe Lucas Mwashambwa kwa Cyprian Musiba ni cha mtoto. Mwenzio alikuwa yeye halisi, hajifichi. Lakini wewe ni "unanimous", hujulikani ni mtu au jini mdogo wa jini la Samia🤣. Mwenzio alikuwa akimiliki magazeti, vipindi ktk radio na TV maalumu kwa ajili kufanyia uchawa tu na kupambana na CHADEMA...

Leo huyu Musiba Cyprian yuko kijijini kwao Mwibara, Bunda - Mara anaburuza matako chini na kula vumbi kama nyoka. Yeye na yule kichaa mwenzake John P. Magufuli (ambaye ameshageuka kuwa udongo na mavumbi kwa kuzikwa futi sita chini) wameiacha CHADEMA ikiwa hai, strong than ever ikimchachafya Samia Suluhu Hassan na wahuni wenzake kiasi cha kufungiwa ndani akiwa nusu kichaa na mwendawazimu...!

Musiba amekuja kugundua kumbe alikuwaga analishwa na kula mavi/kinyesi cha binadamu akiwa na yeye mwenyewe tayari ni mavi/kinyesi ananuka balaaaaa...👇🏻

Iko zamu yako, inakuja...

Humu tulishakuwa na machawa wa CCM na wa viongozi mbalimbali wa serikali za CCM wengi, makatili, wajinga na wapumbavu kuliko wewe na wenzako wachache humu. Lakini wote haijulikani walifia wapi...
 
Alikwamisha vipi upatikanaji wa ajira akiwa Makamu wa Rais?
Kuna tetesi kuwa wewe ni mwalimu. Sasa ulikuwa unafu dishaje darasani bila mfano?
===
Bandiko langu LIlitaka kuonyesha kuwa Kuna possibilities nyingi hapa Dunia Ina tegemea sehemu uliyosimama. Kwa hiyo, kwa kuwa Duniani tupo binadamu si malaika basi kumfanya binadamu kuwa malaika ni kumuondolea ubinadamu wake.

Na akigundua unamuondolea ubinadamu wake huyo Binadamu. Utatafuta hata kijiti cha kuchimba shimo ujifiche utakikosa.

Kila la heri.
 
Back
Top Bottom