Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Hivi unadhani waislam wote hawana akili kama wewe na huyo shekhe ubwabwa? kuna ambao tunaishi nao nyumba moja hawapendi huu ujinga hata kuusikia. lakini kwa watu kama nyinyi msio na akili hamtaki kujishughulisha mmekaa na mnataka mupewe kazi maofisini hiyo:nono:

Dhuluma siku zote si yenye kudumu.Nguvu ya uma wa kiislamu sasa hivi ni kubwa sana na watu sasa hivi wanaeelewa na wanafuatilia kila jambo linaloendelea nchini.Propaganda haina nafasi,waulizeni wamiliki wa magazeti wanavyopata hasara kwa habari zao za hovyohovyo.
 
Hembu chekecha hilo bichwa lako, unachodhulumiwa wewe ni nini? shule usiende ila upewe kazi ofisini eti? ndivyo mnavyo fundishwa na hao mashekhe ubwabwa? kaa ukijua kuwa unachokifikilia hakita tokea. maana Mungu wa kweli na aliye hai hata tuacha wakristo na waislam wanaompenda Mungu nasio allah muuaji.

Dhuluma siku zote si yenye kudumu.Nguvu ya uma wa kiislamu sasa hivi ni kubwa sana na watu sasa hivi wanaeelewa na wanafuatilia kila jambo linaloendelea nchini.Propaganda haina nafasi,waulizeni wamiliki wa magazeti wanavyopata hasara kwa habari zao za hovyohovyo.
 
we jinga kweli wewe! nyie wapenda pilau sijui mnamatatizo gani, mwalimu wa kufundisha juu ya kuuwa watu? mimi siku zote ninasema kuwa huyo allah nimuuaji na alaniwe na Mungu aliye hai na Yesu kristo Mwanaye.

Tatizo laki huelewi maana ya ustaadhi,labda nikusaidie,ustaadh maana yake ni mwalimu.Na ilunga yeye ni mwalimu na anachokifanya ni kufundisha uma wa kiislamu.Wengi wenu mnaongea kwa chuki tu hamuelewi logic ya ustaadh ilunga.Maana yake ni kwamba tuheshimiane,kila mtu ana haki ya kuishi.Iwapo utamuua ustaadh au sheikh tegemea kulipiza kisasi.Kama ambavyo mnavyoona padre kauawa wakristo wote mna mnanawatuhumu waislamu,na kinyume chake.Tuweni makini sana.
 
Ametumwa nasystem huyo, maana katika hali ya kawaidaangekuwa ametiwa mbaroni

MHH!
Kwanini wasema ivo?
Huyu Shehe ukimwangalia utadhani kweli ana busara lakini ukimsikiliza yatokayo mdomoni unabaki mdomo wazi!

Huyu Ilunga wa wapi huyu? Ni mtanzania? Kama mtanzania kwanini bado yuko nje na siyo lupango?
 
Unamaanisha nini unaposema dini ya Mungu?

by the way Mungu yupi?
( i think u need to be more specific)
Kwa sababu Mungu sio Mmoja na Dini zipo nyingi.

Kweli aisee..Mungu wa huyu Shehe siyo mungu wa wapenda amani.Wapenda amani, Hawawezi kuwa waumini wa Mungu wa huyu shehe.
 
MHH!
Kwanini wasema ivo?
Huyu Shehe ukimwangalia utadhani kweli ana busara lakini ukimsikiliza yatokayo mdomoni unabaki mdomo wazi!

Huyu Ilunga wa wapi huyu? Ni mtanzania? Kama mtanzania kwanini bado yuko nje na siyo lupango?

wanaogopa kumkamata wafuasi wataandamana hadi magogoni
 
Ama kweli dini hii kiboko, akiuwawa huyu basi uwa huyu sio kabisa kwa hapo haina haja ya mahakama na ni kweli maana vyombo vya sheria ndio maana vinakaa kimya nasema ipo siku kitaeleweka tuu. Mtu akikuvumilia kwa uboya wako usidhani kakuogopa.
 
enzi za mwalimu huyu jamaa na wenzake wala wasingethubutu kusema huu ujinga hadharani -- kwa sasa hivi wanatamba cause wako ndani ya mwamvuli.
 
tukutuku hawa unawaita magaid kwa kuwa wanatetea haki za wanyonge? lakini sikushangai maana historia inaonyesha mandela aliitwa gaid na wazungu kisa alikuwa anatetea haki, na bwana yesu walitaka kumuua kwa sababu alisema kwel. wewe utawachukia lakin sie 2nawaombea kwa Rahman

Yani wewe unataka kumfananisha mandela na huyo paka ilunga?' hivi wewe ni kichaa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom