Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,350
- 32,987
Wakuu hapa chini ni picha za mji mkuu wa Seoul moja ilipigwa mwaka 1961 ikionesha mto unaopita katikati ya ya mji huo. Wakati huo mji huo ulikuwa mchafu sana kama Msimbazi yetu ya Sasa. Na nyingine ni ya Mwaka huu 2019 ikionesha mto ule ule ukiwa msafi na kuvutia watu wakiwa pembezoni wakila raha.
Tuwaombee viongozi wetu wa mkoa na jiji la Dar es Saaam,Mungu awafanyie wepesi sio tu waishinde Dengue fever, kipindupindu na magonjwa mengine ya kudhalilisha utu wetu ila pia waweke mazingira ya mji wetu yawe safi mpaka Nairobians watuonee kijicho. Wote tuseme Amen