Ipo sababu ya kumuadhibu kwa kumnyima kura 2020 kama atasimama tena

Hii post mpelekee bichwa akajifariji.
 
Mtu kipara kikwetu ni mchawi....bila shaka utakua mtoto wa Lucifer!!
 
kipara kipya bhana
 
Lissu sio msaka uongozi kama watu wa CCM. Lissu ameanza kutetea haki hata kabla hajawa mbunge. Kwa Lissu ni siasa ndio iliyomtafuta Lissu na sio Lissu alitafuta Ubunge. Na hata akichaguliwa bado CCM kupitia inaweza mpiga chini kupitia polisi na wizi wa kura lakini hii haimanishi ndio mwisho wa Lissu. Kumbuka UTAWALA NI WA CCM Lakini Uongozi ni wa akina Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe acha tu, linapayuka huko nje mambo ya kizushi kabisa, afadhali lingeitangaza Singida Mashariki, ni ujinga wa ajabu kabisa...
 
Pumbaf zako wewe mlivyo mchakaza marisasi kama mungu asinge wakatalia kumtoa roho yake leo ungekuwa unalipwa hiyo buku 7?
In God we Trust
 
Mnatia huruma kweli nyie
Endeleeni kumpaisha TL kwa upuuzi wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona mna hamu sana arudi, mlikosea kumuacha hai sasa mnataka arudi ili mumalizie kazi mliyoiachia njiani?
 
Risasi kachakazwa na yule aliyekuwa akivutia nje kwenye mvua ya risasi halafu hata tone lisimpate ajitie anaumwa saikolojia kamba kweli nyie watu!
Pumbaf zako wewe mlivyo mchakaza marisasi kama mungu asinge wakatalia kumtoa roho yake leo ungekuwa unalipwa hiyo buku 7?

In God we Trust
 
Huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
so dissapointed,
 
Hategemi sanduku la kura
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…