Ipo sababu ya kumuadhibu kwa kumnyima kura 2020 kama atasimama tena

Nyinyi pateni tabu amepona lakini hataki kurudi anawadhililisha huko aliko,hawajali tena aliwaahidi maendeleo lakini amesahau tangu aingie ulaya hataki kurudi tena kazi ni kuzurura na kuongea sana.
Ni lini atakuja kuwaomba msamaha kwa kuwatelekeza,
Kuna taarifa za chini chini amepanga kuja miezi mitatu kabla uchaguzi dawa yake ni kumyoosha kwa kumkataa hadharani, kama alivyowakataa nyinyi .Alisimama jukwaani na kuwahidi kuwa atakuwa nanyi bega kwa bega kuwaletea maendeleo!
Ndugu mwana chama kutokana na taratibu za office Leo hautaweza kupata muamala wowote kwani Leo sio siku ya kazi!

Samahani kwa usumbufu ulio jitokesa tumia akili yako upate walau kitumbua na chai ya rangi...supu utakunywa siku za kazi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi pateni tabu amepona lakini hataki kurudi anawadhililisha huko aliko,hawajali tena aliwaahidi maendeleo lakini amesahau tangu aingie ulaya hataki kurudi tena kazi ni kuzurura na kuongea sana.
Ni lini atakuja kuwaomba msamaha kwa kuwatelekeza,
Kuna taarifa za chini chini amepanga kuja miezi mitatu kabla uchaguzi dawa yake ni kumyoosha kwa kumkataa hadharani, kama alivyowakataa nyinyi .Alisimama jukwaani na kuwahidi kuwa atakuwa nanyi bega kwa bega kuwaletea maendeleo!
Acha ujinga, wananchi wa jimboni kwake wanafahamu kwamba mlitaka kuwaulia mbunge wao msijipendekeze...wanajua pia kwamba bado anaendelea na matibabu! Halafu ulivyo mjinga unafikiri Lissu akikosa ubunge atapata shida kama zako jinga kabisa
 
Muda si mrefu utamuona kariakoo katandika bendera na bakuli kama timu za maskani!

Sahau hiyo habari. Wewe ndiye muda si mrefu hata Lumumba hawatakupa tena hizo buku tatu tatu...mwenzio ana uwezo wa kufanya kazi popote akaishi. Wewe ukifukuzwa Lumumba idara ya buku tatu tatu utaenda wapi? Na mbaya zaidi wewe hata ukiomba huwezi kupewa, na TL hata akiomba akiwa amelala Kariakoo atapewa..
 
Nyinyi pateni tabu amepona lakini hataki kurudi anawadhililisha huko aliko,hawajali tena aliwaahidi maendeleo lakini amesahau tangu aingie ulaya hataki kurudi tena kazi ni kuzurura na kuongea sana.
Ni lini atakuja kuwaomba msamaha kwa kuwatelekeza,
Kuna taarifa za chini chini amepanga kuja miezi mitatu kabla uchaguzi dawa yake ni kumyoosha kwa kumkataa hadharani, kama alivyowakataa nyinyi .Alisimama jukwaani na kuwahidi kuwa atakuwa nanyi bega kwa bega kuwaletea maendeleo!

Wapiga kura wake wanatamani asirudi hadi awe tayari mwenyewe, suala la maendeleo ni jukumu la serikali.
 
Nyinyi pateni tabu amepona lakini hataki kurudi anawadhililisha huko aliko,hawajali tena aliwaahidi maendeleo lakini amesahau tangu aingie ulaya hataki kurudi tena kazi ni kuzurura na kuongea sana.
Ni lini atakuja kuwaomba msamaha kwa kuwatelekeza,
Kuna taarifa za chini chini amepanga kuja miezi mitatu kabla uchaguzi dawa yake ni kumyoosha kwa kumkataa hadharani, kama alivyowakataa nyinyi .Alisimama jukwaani na kuwahidi kuwa atakuwa nanyi bega kwa bega kuwaletea maendeleo!
Nenda mkamalizie
 
Na mtakufa Kwa Roho Mbaya mnahanangaika sana na Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom