Ipo Morogoro hii... Dar mnayo?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Kuna sehemu moja hapa Moro (waliopo moro wanapafahamu), its a kind of a medium level Lodge, ambapo parking yake ni ya kipekee
Kuna chambers maalum za kuegeshea gari, yaani zimewekewa mapazia. Ukipaki gari yako, huoni iliyoko pembeni yako, na ukitoka tu pazia linashushwa kwa maana kwamba hata ukiingia huwezi soma namba za gari iliyopaki pale. Yupo kijana mahsusi kwa ajili ya kudirect sehemu ya kupak, na ukishatoka anakupa parking lot number ili ukirudi usikosee ukafunua gari isiyo yako
Inaweza kuwa ni staili tu, lakini kiukweli imeipa lodge hii umaarufu sana, na inaonyesha inapendwa sana na watu wanaohitaji faragha za hali ya juu...

Watu wa Dar, kuna kitu kama hiyo? Arusha je, machalii hawajachangamkia huo ubunifu?
 
Hii ndo nzuri, gari full tinted windows alafu ukiingia hakuna anayekuona. I like it naweza kuifungia safari
 
Wadau wa JF ukimwi katika nchi yetu kamwe hauwezi kwisha,ndani ya hizi hotel (Madanguro) mambo ya kutisha yanaonyeshwa kwenye mitandao yao ya ndani.Kanda zote za kifedhuli zenye kuonesha picha za ngono ndani na nje ya nchi zinaonyeshwa humu.

Na mahoteli haya yanajaa sana mchana kweupe siku za kazi zaidi kuliko siku za mwisho wa wiki, Wengi wa wateja ni wanandoa, wake za watu na waume za watu. Mara nyingi hutoroka kazini kutumia muda huo kufanya ufuska, Na hata wakati mwingine hutoa visingizio kama wanaugua ,wanauguliwa or any excuse ili wakatimize lengo lao . Hata hivyo vyombo vya dola wanalijua hili , tena na wao ni washiriki wakubwa hivyo hawawezi kulizuia.

Hatari kubwa ni pale watoto wetu wa shule nao huhusishwa katika ufuska huu. Haya ni baadhi tu ya yale madanguro machache niliyoyatembelea kufanya utafiti wa jinsi Ukimwi unavyoenezwa hapa nchini,wangapi wanatumia kinga na wangapi hatumii kinga;


1.Namnani Sinza
2.Blue Rose - Sinza
3.Aspec Resort- Sinza
4.Mbezi Inn- Mbezi
5.Teepee Ubungo
6.Samaria Hotel- Makuburi
7.Transit Motel -Majumba Sita
8.PR Hotel- Uwanja wa Taifa
9.Kusini Guest house -Saba Saba
10.
Wana JF ongezeni orodha hii hii tupate kuichambua na kuiweka hadharani hali halisi ya kuenea kwa ukimwi na utovu wa maadili katika jamii yetu.

hii ilitupiwa humu miongo kadhaa iliyopita
 
Kipepeo Village Kigamboni (Huku mwajifungia mwezi hakuna wa kuwaona) Huku vidada vya bongo kwa wazungu. Mmeo akikwambia nimesafiri mvizie humu.
 
hapo kwa wezi wa waume na wake za watu......

Kwa style hii Tanzania bila ukimwi haiwezekani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom