Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Kama vitu vingine hamvijui muulizage jamani, mtakuja kuuwawa bure..!
kila awamu upoHahaha una utani na watu
Jamaa itakuwa aliwafunga halafu kwa kuwa hawajui inavyokuwa ndo hivyo tenaMbona kama jamaa aliwaandaa ili awapige ka-selfie
Hivi ni kweli hii
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Gari ikiingia kwenye shimo mkanda unatoka na shingo