IPM alitaka kujiua kuliko ku acha dini ya haki ya uislamu

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,289
21,469
"Kabla sijaokoka na kuwa Nabii nilikuwa Muislam, nilitoka kwenye Uislamu nikaja kwenye Ukristo kwa neema ya wokovu Mungu aliyonipa ndio maana naweza kuzungumza vizuri Lugha zote mbili kwa ufasaha (Uislamu na Ukristo) lakini kwa nia nzuri na siwezi kukashifu sehemu niliyotoka"

"Nimezaliwa kwenye Uislamu, wazazi wangu ni Waislamu, ndugu zangu ni Waislamu na nafahamika hivyo kwamba mimi nilikuwa kijana wa Kiislamu nimesoma dini na vyuo vya kiislamu wakati huo ambapo bado nilikuwa Muislam"

"Nakumbuka ilikuwa siku ya Ijumaa ambapo nilikuwa niko msikitini, wakati tunaswali swala ya Ijumaa wakati nimesema (Allah Akbar) nimeweka mikono kifuani, kuna kitu ambacho kilitokea nikiwa pale (Kbra) ambapo ulitokea mwanga mkubwa sana ulikuwa ni mwanga mkali kiasi kwamba nilishindwa kuuangalia hata kwa sekunde moja"

"Kwangu kilikuwa ni kitu cha ajabu kuwahi kutokea maishani mwangu, ghafla sauti ilianza kutoka kwenye ule mwanga ikawa inazungumza na mimi kwamba (Mimi nalikuwako kabla ya chochote kuwako, nalizaliwa, nalikuwako kama fundi staili wa kazi wa Mungu lakini Mungu alinituma nikaja nikaikamilisha kazi yangu hapa duniani na sasa niko mkono wa Kuume wa Mungu aliye hai naomba unitumikie, akataja jina langu".

"kwa mara ya kwanza nilianguka nikazimia kwasababu niliogopa sana, kanzu niliyokuwa nimevaa siku hiyo ililowa yote mpaka nguo za ndani nilizokuwa nimevaa zililowa, ndani ya mda mchache wakati naongea na huyo mtu wa ajabu, baadae nikajikuta niko pembeni nikawa naulizwa na watu ni nini kimenitokea, kwakweli sikuwaeleza kilichokuwa kimenitokea"

"Haikuishia hapo, akanitokea tena mara ya pili, hadi mara ya tano, na mara ya tano alinitokea nikiwa nyumbani chumbani akawa ananiambia maneno yaleyale aliyoniambia mwanzo kisha anapotea, nilikuwa napiga kelele sana mama alikuwa akiniuliza naogopa kumwambia, alivyonitokea mara ya sita nikapata wasiwasi zaidi nikaenda kuwashirikisha Masheikh wakiokuwa wananifundisha, hawakuamini wakasema atakuwa tu ni shetani maana Yesu alishakufa muda mrefu"

"Nilisomewa dua nyingi sana, walinisomea dua zote ambazo Masheikh wamejaliwa na Mungu, na mimi niliamini kuwa kutokana na zile dua yule jini anayenitokea na kujifanya ni Yesu asingenitokea tena, lakini niliporudi nyumbani ule mwaka ulinitokea tena ukawa unazungumza maneno yaleyale ya awali kwamba nimtumikie, niliwaza kwamba nikirudi kwa Masheikh kuwaeleza tena huu mkasa wakati waliniombea wangeniona mnafiki, niliona bora nijiue kuliko kuuacha Uislamu dini ya haki na kwenda kwenye Ukristo"

"Niliwaza kwamba nikijiua nitaenda kwa Allah kupumnzika kuliko kuwa Mkristo, sikuwahi kufikiria kama ningekuja kuwa Mkristo katika maisha yangu, kabla sijajiua nilimpigia simu rafiki yangu nikamwambia licha ya dua zote nilizoombewa lakini yule mtu amenitokea tena, rafiki yangu akaniambia kwamba ni bora nijiue kuliko kuwa Mkristo, maana adhabu ya kufa ukiwa Mkristo ni kukatwa kichwa siku ya kiama"

"Nikaenda kununua dawa za kujiua nikaziweka chumbani kwenye meza, nikaenda kuoga ili nijiandae kujiua, nilipotoka kuoaga ile naingia chumbani kunywa ile sumu ya vidonge nikakuta chumba chote kimebadilika rangi, alikuwa ni yule mtu akarudia maneno yaleyale kwamba nikamtumikie kwenye Ukristo, akaniambia sitakuacha wala sitakupungukia, kuanzia hapo nikaanza kumpenda nikasema nimekupokea moyoni mwangu kuwa bwana na mwokozi wangu"- amesema mtumishi wa Mungu, Isaac Paul ambaye ni Nabii IPM kwa sasa.

Isaac Paul Hammoud au Nabii IPM ni mtumishi wa Mungu ambaye awali alikuwa muumini mwenye itikadi kali ya Dini ya kiislamu lakini sasa ni Nabii.

Follow Aston John Carter
Screenshot_20230602-200458_Facebook.jpg
 
Follow Aston John CarterView attachment 2643849
Kwanini walokole (wakiristo) ni rahisi kua manipulated na kila mtu na wana amini haraka, wenzetu waislamu hawawezi kupokea kitu kama hicho.
 
kuna mwana alikua anamnyandua binti wa sheikh moja hv..... Sheikh akajua alisuka ramani siku hyo wakati wapo geto sheikh akamfuma japo walimsilimisha akafungishwa ndoa pale pale 🤔🤔yaan kusilimu na ndoa vilichukua dkk 45 tu!

Jpili yake jamaa akamwambia demu twende kanisani, demu alikaza jamaa akataka kumtimua baada ya mzozano demu akaenda kanisani🤔🤔saiv n mkristo mzur tu ila katengwa na familia yake!!!!

Hv kwnn kutoka ukristo kwenda uislamu sio shida, ila kutoka uislamu kwenda ukristo lazima pawepo migogoro
 
Kwanini walokole (wakiristo) ni rahisi kua manipulated na kila mtu na wana amini haraka, wenzetu waislamu hawawezi kupokea kitu kama hicho.
hii ni hatari sana; nakumbuka kile kisa cha hivi majuzi Kenya (Shakahola) ambapo mtu alijiita nabii na Mchungaji aliyepewa maono akawaambia wafuasi wake wafunge hadi wafe ili wamuone Mungu, na wakamuamini na kufunga hadi kufa zaidi ya watu mia tatu.....huku nabii mwenyewe anakula (hafungi); Bila kusahau Kibwetere kule Uganda naye aliua wafuasi wake kwa mamia wakiamini ndio siku ya mwisho nk nk
Waislam hawana huo ubabaishaji.....
 
"Kabla sijaokoka na kuwa Nabii nilikuwa Muislam, nilitoka kwenye Uislamu nikaja kwenye Ukristo kwa neema ya wokovu Mungu aliyonipa ndio maana naweza kuzungumza vizuri Lugha zote mbili kwa ufasaha (Uislamu na Ukristo) lakini kwa nia nzuri na siwezi kukashifu sehemu niliyotoka"

"Nimezaliwa kwenye Uislamu, wazazi wangu ni Waislamu, ndugu zangu ni Waislamu na nafahamika hivyo kwamba mimi nilikuwa kijana wa Kiislamu nimesoma dini na vyuo vya kiislamu wakati huo ambapo bado nilikuwa Muislam"

"Nakumbuka ilikuwa siku ya Ijumaa ambapo nilikuwa niko msikitini, wakati tunaswali swala ya Ijumaa wakati nimesema (Allah Akbar) nimeweka mikono kifuani, kuna kitu ambacho kilitokea nikiwa pale (Kbra) ambapo ulitokea mwanga mkubwa sana ulikuwa ni mwanga mkali kiasi kwamba nilishindwa kuuangalia hata kwa sekunde moja"

"Kwangu kilikuwa ni kitu cha ajabu kuwahi kutokea maishani mwangu, ghafla sauti ilianza kutoka kwenye ule mwanga ikawa inazungumza na mimi kwamba (Mimi nalikuwako kabla ya chochote kuwako, nalizaliwa, nalikuwako kama fundi staili wa kazi wa Mungu lakini Mungu alinituma nikaja nikaikamilisha kazi yangu hapa duniani na sasa niko mkono wa Kuume wa Mungu aliye hai naomba unitumikie, akataja jina langu".

"kwa mara ya kwanza nilianguka nikazimia kwasababu niliogopa sana, kanzu niliyokuwa nimevaa siku hiyo ililowa yote mpaka nguo za ndani nilizokuwa nimevaa zililowa, ndani ya mda mchache wakati naongea na huyo mtu wa ajabu, baadae nikajikuta niko pembeni nikawa naulizwa na watu ni nini kimenitokea, kwakweli sikuwaeleza kilichokuwa kimenitokea"

"Haikuishia hapo, akanitokea tena mara ya pili, hadi mara ya tano, na mara ya tano alinitokea nikiwa nyumbani chumbani akawa ananiambia maneno yaleyale aliyoniambia mwanzo kisha anapotea, nilikuwa napiga kelele sana mama alikuwa akiniuliza naogopa kumwambia, alivyonitokea mara ya sita nikapata wasiwasi zaidi nikaenda kuwashirikisha Masheikh wakiokuwa wananifundisha, hawakuamini wakasema atakuwa tu ni shetani maana Yesu alishakufa muda mrefu"

"Nilisomewa dua nyingi sana, walinisomea dua zote ambazo Masheikh wamejaliwa na Mungu, na mimi niliamini kuwa kutokana na zile dua yule jini anayenitokea na kujifanya ni Yesu asingenitokea tena, lakini niliporudi nyumbani ule mwaka ulinitokea tena ukawa unazungumza maneno yaleyale ya awali kwamba nimtumikie, niliwaza kwamba nikirudi kwa Masheikh kuwaeleza tena huu mkasa wakati waliniombea wangeniona mnafiki, niliona bora nijiue kuliko kuuacha Uislamu dini ya haki na kwenda kwenye Ukristo"

"Niliwaza kwamba nikijiua nitaenda kwa Allah kupumnzika kuliko kuwa Mkristo, sikuwahi kufikiria kama ningekuja kuwa Mkristo katika maisha yangu, kabla sijajiua nilimpigia simu rafiki yangu nikamwambia licha ya dua zote nilizoombewa lakini yule mtu amenitokea tena, rafiki yangu akaniambia kwamba ni bora nijiue kuliko kuwa Mkristo, maana adhabu ya kufa ukiwa Mkristo ni kukatwa kichwa siku ya kiama"

"Nikaenda kununua dawa za kujiua nikaziweka chumbani kwenye meza, nikaenda kuoga ili nijiandae kujiua, nilipotoka kuoaga ile naingia chumbani kunywa ile sumu ya vidonge nikakuta chumba chote kimebadilika rangi, alikuwa ni yule mtu akarudia maneno yaleyale kwamba nikamtumikie kwenye Ukristo, akaniambia sitakuacha wala sitakupungukia, kuanzia hapo nikaanza kumpenda nikasema nimekupokea moyoni mwangu kuwa bwana na mwokozi wangu"- amesema mtumishi wa Mungu, Isaac Paul ambaye ni Nabii IPM kwa sasa.

Isaac Paul Hammoud au Nabii IPM ni mtumishi wa Mungu ambaye awali alikuwa muumini mwenye itikadi kali ya Dini ya kiislamu lakini sasa ni Nabii.

Follow Aston John CarterView attachment 2643849
Umeanza uzushi wako vibaya na bila kificho.Kwa mara ya mwanzo huyo shetani alikutokea ukiwa unaswali swala ya Ijumaa. Inashanganza katikati ya swala ya Ijumaa yote yaliyotokea hujataja uliokuwa nao safu moja walikufanya nini.Kwa sababu ukishikwa na mapepo kama hivyo lazima ungeshikwa na kupelekwa nje ili watu waendelee na swala zao.Kwa kutokutaja watu waliokuzunguka inaonesha hata swala ya Ijumaa inaswaliwa vipi hujui.
 
Uongo wake uko hapa, mtu alio nunua sumu anywe afe kuna haja gani kuoga kwanza, ili iwe je?
 
Kuna rafiki yangu mmoja nilimuuliza mtani wangu dini ya ukristo ni dini ambayo tunaweza sema wako mbele kwa waislam kwa elimu dunia lakini mbona ni warahisi sana kudanganywa kwa kuingizwa mkenge mfano mtu anajiita nabii na mfano mwingine babu wa Loliondo ila kwa waislam huwezi sikia mtu anaitwa Nabii na akitokea kichwa chake kinatafutwa.
Nikamuuliza mbona huwezi sikia mwislam anasema msikiti wangu ila wakristo unasikia mtu anasema kanisa langu.
Akaniambia mtani ongea taratibu wasije kusikia kwa kweli tunatia aibu
 
"Kabla sijaokoka na kuwa Nabii nilikuwa Muislam, nilitoka kwenye Uislamu nikaja kwenye Ukristo kwa neema ya wokovu Mungu aliyonipa ndio maana naweza kuzungumza vizuri Lugha zote mbili kwa ufasaha (Uislamu na Ukristo) lakini kwa nia nzuri na siwezi kukashifu sehemu niliyotoka"

"Nimezaliwa kwenye Uislamu, wazazi wangu ni Waislamu, ndugu zangu ni Waislamu na nafahamika hivyo kwamba mimi nilikuwa kijana wa Kiislamu nimesoma dini na vyuo vya kiislamu wakati huo ambapo bado nilikuwa Muislam"

"Nakumbuka ilikuwa siku ya Ijumaa ambapo nilikuwa niko msikitini, wakati tunaswali swala ya Ijumaa wakati nimesema (Allah Akbar) nimeweka mikono kifuani, kuna kitu ambacho kilitokea nikiwa pale (Kbra) ambapo ulitokea mwanga mkubwa sana ulikuwa ni mwanga mkali kiasi kwamba nilishindwa kuuangalia hata kwa sekunde moja"

"Kwangu kilikuwa ni kitu cha ajabu kuwahi kutokea maishani mwangu, ghafla sauti ilianza kutoka kwenye ule mwanga ikawa inazungumza na mimi kwamba (Mimi nalikuwako kabla ya chochote kuwako, nalizaliwa, nalikuwako kama fundi staili wa kazi wa Mungu lakini Mungu alinituma nikaja nikaikamilisha kazi yangu hapa duniani na sasa niko mkono wa Kuume wa Mungu aliye hai naomba unitumikie, akataja jina langu".

"kwa mara ya kwanza nilianguka nikazimia kwasababu niliogopa sana, kanzu niliyokuwa nimevaa siku hiyo ililowa yote mpaka nguo za ndani nilizokuwa nimevaa zililowa, ndani ya mda mchache wakati naongea na huyo mtu wa ajabu, baadae nikajikuta niko pembeni nikawa naulizwa na watu ni nini kimenitokea, kwakweli sikuwaeleza kilichokuwa kimenitokea"

"Haikuishia hapo, akanitokea tena mara ya pili, hadi mara ya tano, na mara ya tano alinitokea nikiwa nyumbani chumbani akawa ananiambia maneno yaleyale aliyoniambia mwanzo kisha anapotea, nilikuwa napiga kelele sana mama alikuwa akiniuliza naogopa kumwambia, alivyonitokea mara ya sita nikapata wasiwasi zaidi nikaenda kuwashirikisha Masheikh wakiokuwa wananifundisha, hawakuamini wakasema atakuwa tu ni shetani maana Yesu alishakufa muda mrefu"

"Nilisomewa dua nyingi sana, walinisomea dua zote ambazo Masheikh wamejaliwa na Mungu, na mimi niliamini kuwa kutokana na zile dua yule jini anayenitokea na kujifanya ni Yesu asingenitokea tena, lakini niliporudi nyumbani ule mwaka ulinitokea tena ukawa unazungumza maneno yaleyale ya awali kwamba nimtumikie, niliwaza kwamba nikirudi kwa Masheikh kuwaeleza tena huu mkasa wakati waliniombea wangeniona mnafiki, niliona bora nijiue kuliko kuuacha Uislamu dini ya haki na kwenda kwenye Ukristo"

"Niliwaza kwamba nikijiua nitaenda kwa Allah kupumnzika kuliko kuwa Mkristo, sikuwahi kufikiria kama ningekuja kuwa Mkristo katika maisha yangu, kabla sijajiua nilimpigia simu rafiki yangu nikamwambia licha ya dua zote nilizoombewa lakini yule mtu amenitokea tena, rafiki yangu akaniambia kwamba ni bora nijiue kuliko kuwa Mkristo, maana adhabu ya kufa ukiwa Mkristo ni kukatwa kichwa siku ya kiama"

"Nikaenda kununua dawa za kujiua nikaziweka chumbani kwenye meza, nikaenda kuoga ili nijiandae kujiua, nilipotoka kuoaga ile naingia chumbani kunywa ile sumu ya vidonge nikakuta chumba chote kimebadilika rangi, alikuwa ni yule mtu akarudia maneno yaleyale kwamba nikamtumikie kwenye Ukristo, akaniambia sitakuacha wala sitakupungukia, kuanzia hapo nikaanza kumpenda nikasema nimekupokea moyoni mwangu kuwa bwana na mwokozi wangu"- amesema mtumishi wa Mungu, Isaac Paul ambaye ni Nabii IPM kwa sasa.

Isaac Paul Hammoud au Nabii IPM ni mtumishi wa Mungu ambaye awali alikuwa muumini mwenye itikadi kali ya Dini ya kiislamu lakini sasa ni Nabii.

Follow Aston John CarterView attachment 2643849
ukosefu wa ajira shida sana maisha magumu lazima akili ichangamke.
 
Kuna rafiki yangu mmoja nilimuuliza mtani wangu dini ya ukristo ni dini ambayo tunaweza sema wako mbele kwa waislam kwa elimu dunia lakini mbona ni warahisi sana kudanganywa kwa kuingizwa mkenge mfano mtu anajiita nabii na mfano mwingine babu wa Loliondo ila kwa waislam huwezi sikia mtu anaitwa Nabii na akitokea kichwa chake kina tafutwa.
Nikamuuliza mbona huwezi sikia mwislam anasema msikiti wangu ila wakristo unasikia mtu anasema kanisa langu.
Akaniambia mtani ongea taratibu wasije kusikia kwa kweli tunatia aibu
Baby wa liliondo hakuwa na dini
 
Back
Top Bottom