Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipi tofauti kati ya serikali na private campany

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mitomingi8s, Feb 17, 2011.

 1. Mitomingi8s

  Mitomingi8s Senior Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hivi karibuni nilikuwa najiuliza zamani serkali ilikuwa iko poa sana tena serikali ya TZ kuliko private companies sasa leo naona hakuna tofauti yaani nchi inaendeshwa na makaburu ya tz yaani wanasiasa na wafanyabiashara wakuu sasa ni GVT au ni serikali iliyobinaffsishwa kila sector? jamani mimi sielewi kabisa manaa kila kitu ni ubabe tu lazima kifanyike hata kama wananchi hawajaridhia Duuuu!!
   
 2. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,668
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  tupe mwongozo wako,mkuu!!! naunga mkono hoja
   
Loading...