Ipi tofauti kati ya Kuibiwa au kutapeliwa?

Ipi tofauti kati ya Kuibiwa au kutapeliwa?

Kwenye title toa "au"

Kuibiwa-kuchuliwa mali au bidhaa au kitu bila taalifa zozote kwa mmiriki


Kutapeliwa-kuchuliwa au kutoa kitu/mali au bidhaa kwa ridhaa yako kwa njia ya udanganyifu
 
Kutapeliwa ni ile hali ya kitu chako kuchukuliwa kwa njia ya udanganyifu huku ukitoa ushirikiano.
Wakati kuibiwa ni ile hali kitu chako kinachukuliwa bila wewe kujua,unaweza kuja kujua baadae Sana.
 
Kuibiwa ni kuchukuliwa kitu chako bila hiari yako. Mara nyingi bila ruhusa yako na huenda kikachukuliwa ukiwa haupo/hujaona. Mara nyingi mhalifu huonekana kutumia nguvu nyingi kuliko akili.

Utapeli ni kuchukuliwa kitu chako kwa hiari yako, ukiwa umedhamilia na unakitoa kwa mikono miwili na moyo mkunjufu. Wewe uliechukuliwa ndyo unaonekana lofa na aliyekuchukulia haonekani kutumia akili nyingi kuliko nguvu.

Kupanga ni kuchagua
 
Back
Top Bottom