Kwa heshima naomba kuwasalimu nyote kwa imani yako, kabila lako, umri wako na cheo pia...
Baada ya salamu naomba kushare na ninyi kama heading inavyojieleza hapo... Nimekaa hapa EXPERIENCE PUB nikipata vyombo, nikaona sio mbaya nikiwauliza na ninyi wana JF "ni ipi haswa starehe yako"
Nataka niachane na pombe... ilaa NOOO! Serikali itakosa mapato maana kwenye mahari hamna VAT ningechangia kupitia njia iyo... sasa ndugu zangu embu niambieni ili niangalie kama ntaweza ku-divert otherwise niendelee kulipa kodi kupitia TBL