Ipi siri ya ya kufanikiwa kazini?

Ipi siri ya ya kufanikiwa kazini?

Pamoja na juhudi zako, sala zako, unyenyekevu, usisahau "kujiganga " dunia ina mambo mengi. Kuna mmoja alichukuwa breafcafe yake badala ya kwenda kazini aliingia mgombani na kuchuma kahawa. Anajaza kahawa kwenye breafcafe na kurudi nyumbani.
Sala vs Kujiganga
 
Ukitoa MUNGU.
Silaha nyingine ni hii
"If U Can't Join Them, Mock Them".

Ila uchawa uchawa!!!..

Kitu kikubwa utambue makazani hakunaga urafiki wa kweli, mafanikio yako ya nje ya ofisi yaishie hukohuko.

Kuna jamaa yeye alikuwa akitoka kidogo anaacha simu juu ya meza ikiwa inarekodi sauti, daah!! jamaa kachomesha sana watu kwa bosi.
 
Achana na mambo ya kuwaza mavyeo hayo, yatakupa stress ujikute unakonda bure!
We piga kazi kwa bidii, ishi na kila mtu vizuri na waheshimu wakubwa zako utashangaa mcheo huooo hata hujui umetokea wapi
 
Brothers and sisters mliofanikiwa kudumu kazini muda mrefu, mkapanda vyeo (supervisors, managerial level etc.) na hizo kazi zikawabadilishia maisha
What is the secret?

Ni ushauri gani mnatoa kwa kijana ambaye ndio kwanza ameingia kazini?

Vitu gani anapaswa kuzingatia Ili aweze kuwa successful in the future kama ambavyo nyinyi mmefanikiwa?
KUWA MKIMYA fanya kazi.....lipwa pesa yako.....rudi nyumbani kwako....
pia bidii na uaminifu
 
hata ufanye kazi kwa bidiii sana na uwe mkimya ,ujifanye huna time na mtu ,tena hapa watasema unadharau watakuloga na kukupiga fitina.Hii mbona imenikuta .Omba Mungu sana makazini kuna uchawi sana na wala usiwe na ushikaji wa kueleza mambo yako
Mimi nilijua jamaa ni wana tukawa tunapiga story za hapa na pale mixer kuongea kuhusu maisha nje ya kazi kumbe jamaa hawakuwa wanapenda,nilikuja kupigwa na kitu kizito sana
 
Back
Top Bottom