Samsung Galaxy S9 Pluscamera kali za mbele na nyuma, angalau 3 za juu.
Toleo lipi la iphoneIPhone
Pia son toleo lipi?Sony
Lumia ipi?lumia
Kama utaagiza toka nje version ya 128Gb unaweza ipata kwa 2,065,195.64 TZS ikiwa na option ya Free Shipping (rates zinaweza kuwa tofauti).Hii simu mkuu inasimamia sh ngapi sasa hivi, ni kweli nimeona comparison yake inafanywa na samsung s9+
Megapixels sio kila kitu kwenye kamera ya simu mkuu. Leo hii tunaangalia ubunifu/teknolojia iliyotumika kwenye camera unit nzima.in fact, at 41 megapixels, the 808 and the Lumia 1020 still hold the record for the highest resolution image sensor used in a smartphone
Makampuni ya simu yanashindana kwa kubuni camera zenye uwezo mkubwa kila siku, lakini wakati mwingine kila simu ina uzuri na ubaya kwa namna yake,
Kwa wajuzi wabobezi wa mambo ya simu, mje na majibu ni simu ipi kwa sasa sokoni inaongiza kwa camera kali za mbele na nyuma, angalau 3 za juu.
Kama ningekua nasahihisha mitihan jib hili nngekupa 98% sbu tu hatujatunga wote mtihan zile mbili nazihfadhi.. Naiman ktk soko bora la simu za Huawei ktk P20pro wameua kbsa kila kitu mpk kuifaya simu iliyouzika zaid baran ulaya 2018...Kwa sasa hivi ni Huawei P20 Pro tu. Ingia YouTube cheki ubora wa picha zake na teknolojia iliyotumika.
Bei yake haitishi sana dola 789-850 new brandy kbsaaaaaaaaaaa[emoji12] [emoji12]Hii simu mkuu inasimamia sh ngapi sasa hivi, ni kweli nimeona comparison yake inafanywa na samsung s9+
Hahaha shukrani mkuu. Hata bila kuangalia rankings za DxO nilijua fika kwa sasa hivi hakuna simu ina kamera yenye tech kali ka P20 Pro.Kama ningekua nasahihisha mitihan jib hili nngekupa 98% sbu tu hatujatunga wote mtihan zile mbili nazihfadhi.. Naiman ktk soko bora la simu za Huawei ktk P20pro wameua kbsa kila kitu mpk kuifaya simu iliyouzika zaid baran ulaya 2018...