Kwa matumizi ya kawaida kuanzia Note 8 na S8 mpaka Note 10 na s10 ni sawa. Mara nyingi zinakuwa na processor moja, configuration za RAM na internal storage zinazofanana.
Utofauti unakuja hapa.
-Note zinakuwa kubwa upande wa display kuliko S
-Note zinakuwa na kalamu (stylus) unayotumia kuandika, kupigia picha, transision za powerpoint etc
-Note zinakuwa na productivity features nyingi kushinda S mfano built in dex.
Kwa bajeti yako utapata note 8 na nauli inabakiAsanteni sana wakuu ngoja nione ipi itakuwa kwenye uwezo wangu maana bajet yangu ni Tsh 800,000 automatically hiyo note 10 siwezi kuafford.
Nzuri kabisa ni note 10+ sema andaa 2m+
Mkuu tofauti ya S series na Note series ni nini?karibu S series hutojutia pesa yako
Kikubwa huwa ni kalamu, S ina pen ila hakuna zaidi.Mkuu tofauti ya S series na Note series ni nini?
S series ipi ni nzuri zaidi?Kama huna uwezo wa kununua ten plus achana na NOTE SERIES
baki kwenye S series...
Fanya yote lakini usije ukabeba note 4
Nachukua hii in few days, nitawapa mrejesho wa experience yangu
nunua unayoimuduS series ipi ni nzuri zaidi