Kuna kitu Linguists tunaita POETIC LICENCE..huu ni uhuru anaopewa mtunzi wa mashairi au muziki kuvunja taratibu za uandishi za Kigramatiki ili kuleta ladha ya mziki au shairi
Kiukweli Hell ni unique entinty hivyo hua tunatumia 'the' hell...
Lakini kwa fact hio mlioitoa happ juu nadhani utakua umenisoma!