Contradictory.Yuko sahihi, the na a zaweza tumika popote kulingana na muktadha husika
Ni Linguists sio Linguistics mkuu.Pamoja na lugha kutokupanda, huenda "what the hell "ni sahihi. Tuwaulize Linguistics
Sent using Jamii Forums mobile app
Hey Guys,
Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Seduce Me' unabamba sana kwa sasa na kuna maneno kadhaa ya Kiingereza yametumika kwenye wimbo huo.
Nimeleta kwenu wajuzi wa lugha tusaidiane... Pale anaposema 'What a hell' ni sahihi kweli? Sina utaalamu sana lakini kwa mazoea tu nimekuwa nikilisikia hili neno likisemwa 'What the hell' badala ya hiyo ya Ali..
Tupanuane maarifa kwenye hilo wakuu.. Lipi liko sahihi hapo?
Nipo..