Ramani ya pli. Why? Master bedroom imetenganishwa na vyumba viigine na hivyo kama ni master ya baba na mama hawaingiliani na yoyote kabla ya kufika sebuleni. Ya kwanza haina feature kama hii.
Pili ya pili vyumba say vya wasichana na wavulana vimentengana. Wavulana na wasichana wametenganishwa na toilet.. Ya kwanza viko sehemu moja vinafuatana....the two might interact in the corridor!
FINALLY NI
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
Ni nzuri zote, ila jitahidi kuandaa ramani nzuri. Punguza korido, zingatia mwanga asili, upangaji wa vyumba kwa kuangalia mahusiano na mwisho zingatia kipengere cha gharama. Raman ni mjumuiko wa sanaa na sayansi.