tvs service yake inagharimu kiasi gani na muda gani au inakuaje naomba unielekeze gharama zake naweza kugharimu kiasi gani naomba unisaidie.TVS HLX 150 ni ngumu sana huwezi zikuta zimeharibika kiurahisi, usipojali bei ghali ya spea zake basi mostly ni genuine!!...
Na umesema ni kwa matumizi yako binafsi basi chukua TVS HLX 125 inaenda Km 65-70 kwa lita moja fikiria umesave kiasi gani!!!!...