Ipi imara kati ya pikipiki boxa 150 ya gia 5 na gia 4

Gia 5 ni update ya gia4 wengi wanasema gia 4 ni zur zaid sjui kwann ..mm ninayo gia 4 zle mdomo wa bata mkiwa road mmeongozana na gia 5 huwezi gundua mana huwa haziachani kabsa
 
Back
Top Bottom