Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

TVS HLX 150 ni ngumu sana huwezi zikuta zimeharibika kiurahisi, usipojali bei ghali ya spea zake basi mostly ni genuine!!...
Na umesema ni kwa matumizi yako binafsi basi chukua TVS HLX 125 inaenda Km 65-70 kwa lita moja fikiria umesave kiasi gani!!!!...
tvs service yake inagharimu kiasi gani na muda gani au inakuaje naomba unielekeze gharama zake naweza kugharimu kiasi gani naomba unisaidie.
 
125 or 150?, halafu service ya kawaida gharama ni sawa kwa vyombo vyote tu mkuu!.
• Oil (20w50 yoyote)- elfu 7-8 depends na soko lenu.
• fundi 3,000 to 5,000 kwa service ya oil depends na unapoenda pia!.
Kama vifaa minor basi:
•Spark Plug ya TVS original ni elfu 8-10 depends na muuzaji wako na zinaingiliana Tvs king na ya Tvs hlx.
Ukiwa mtunzaji service kubwa baada ya mwaka 1 or ukiwa sio rafu basi hata miaka 2-3 kuanza gusa service kubwa. We zingatia tu service kila baada ya wiki 1 au wiki 2 chombo yako na tumia oil namba 20w50 mafundi wengi wanaweka 20w40 ambayo sio nzuri kwa uhai wa chombo.
Vingine nitakuwa nawapigia promi sasa, ila we jua hakuna pikipiki bora zaidi ya TVS Tanzania hata Boxer hafui dafu kwao!..
 
Ahsante sana

inaamaana ikiwa kila wiki nafanya service nikibadilisha oil na hiyo plug na nikimpa mtu kwa hesabu ya 50000 mm nitabaki na 27000 tu kwa wiki kweli gharama kubwa asante
 
Nataka
Boxer ni smoother and durable. Wanaosema TVS inadumu ni kwa vile wanalinganisha na Boxer ambazo zinatumikishwa kufanya bodaboda ilhali TVS nyingi ni private.

Ingekuwa Three Wheeler ndio ningekushauri uchukue TVS
Nataka kwa bodaboda lkn watu wengi wanasifia tvs
 
Ahsante sana

inaamaana ikiwa kila wiki nafanya service nikibadilisha oil na hiyo plug na nikimpa mtu kwa hesabu ya 50000 mm nitabaki na 27000 tu kwa wiki kweli gharama kubwa asante
Fekon, SunLG na the likes ukinunua ukazipiga service cheap ya elfu 5 tu. Umefatiria zinadumu muda gani ukimpa mtu!?..
 
125 or 150?, halafu service ya kawaida gharama ni sawa kwa vyombo vyote tu mkuu!.
• Oil (20w50 yoyote)- elfu 7-8 depends na soko lenu.
• fundi 3,000 to 5,000 kwa service ya oil depends na unapoenda pia!.
Kama vifaa minor basi:
•Spark Plug ya TVS original ni elfu 8-10 depends na muuzaji wako na zinaingiliana Tvs king na ya Tvs hlx.
Ukiwa mtunzaji service kubwa baada ya mwaka 1 or ukiwa sio rafu basi hata miaka 2-3 kuanza gusa service kubwa. We zingatia tu service kila baada ya wiki 1 au wiki 2 chombo yako na tumia oil namba 20w50 mafundi wengi wanaweka 20w40 ambayo sio nzuri kwa uhai wa chombo.
Vingine nitakuwa nawapigia promi sasa, ila we jua hakuna pikipiki bora zaidi ya TVS Tanzania hata Boxer hafui dafu kwao!..
Unaijua Honda ace 125 vzr lakini kabla ya kusema hakuna pikipiki bora kuliko tvs
 
Pia kwa boda boda tvs ni nzuri kama sehemu unayofanya haitahitaji kubeba mizigo mizito na kama ni sehemu ambazo lazima utakutana na mizigo chukua mashine za kichina tu.
 
Unaijua Honda ace 125 vzr lakini kabla ya kusema hakuna pikipiki bora kuliko tvs
Ipo kwa wingi kwenye Mainstream!?.. Halafu kwa taarifa yako Pikipiki bora zaidi (bodaboda) zilikuwa ni Hero lakini zimepotezwa sokoni hawakua na strategy kuzipromote.
Pikipiki bora inayobakia ni TVS HLX. Tunapoongelea ubora tunaangalia na ukubwa wa soko lake!. Nikikwambia pikipiki bora ni za BMW/Benz utabisha!?..
 
Ki ukweli kwa pikipiki zilizopo sokoni tvs inaubora kuliko zingine lakini kwa kazi ya boda boda inategenea na maeneo kunamtu utamkuta kazi yake ya boda boda anafanyia maeneo ya soko ambapo lazima atakutana na mizigo mizito kdg tvs shock up zake sio imara kwa mizigo ni nzuri kwa mizunguko ya kawaida na kupakia abiria peke yake.
 
125 or 150?, halafu service ya kawaida gharama ni sawa kwa vyombo vyote tu mkuu!.
• Oil (20w50 yoyote)- elfu 7-8 depends na soko lenu.
• fundi 3,000 to 5,000 kwa service ya oil depends na unapoenda pia!.
Kama vifaa minor basi:
•Spark Plug ya TVS original ni elfu 8-10 depends na muuzaji wako na zinaingiliana Tvs king na ya Tvs hlx.
Ukiwa mtunzaji service kubwa baada ya mwaka 1 or ukiwa sio rafu basi hata miaka 2-3 kuanza gusa service kubwa. We zingatia tu service kila baada ya wiki 1 au wiki 2 chombo yako na tumia oil namba 20w50 mafundi wengi wanaweka 20w40 ambayo sio nzuri kwa uhai wa chombo.
Vingine nitakuwa nawapigia promi sasa, ila we jua hakuna pikipiki bora zaidi ya TVS Tanzania hata Boxer hafui dafu kwao!..
Sorry boss natumia boxer Bm 150 now, ni kwa matumizi binafsi but nna mpango wa ku change pkpk so vipi kuhusu hiyo tvs 150 itanifaa?
 
Kwa biashara sikushauri HLX 150 chukua HLX 125 lakini kama unapopigia kazi ni maeneo magumu, majimaji basi chukua hiyo HLX 150 itakubeba!..
HLX125 iliundwa kwa ajiri ya uchumi wa mtu wa chini as inatumia mafuta kidogo sana!.. HLX 150 iliundwa mahususi kwa watu wa milimani na sehemu za matope!.
 
1537660961790.jpeg
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu, ila shida nyingine ambayo sometime inanifanya nibaki na boxer ni shape za hizi tvs!
Yaani mi binafsi naona kama ni shapeless!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom