ipi nzuri zaidi!!!!!!!??

naona umepata jibu lile lile nililokuambia,teh teh teh
 
best nimeipenda hii!!
 
mmmhhh!! hongereni!! hii piia imetulia!! akili kumkichwa!!
 
hahahhahah!! beibe nasty usinfurahshe best!! kuna mtu tumebishana sana about this so nkaona bora niulize wana chitchat nione mtazamo wao!! khaa!! mi nataka jibabu!! linlee kama mjukuu!!
 
Last edited by a moderator:
HAHAHa BHAAAAAS....
 
Marakhaba mdogo wangu beibe nasty.
Narudi kwako,eti umri ktk mapenzi unamata mdogo wangu?

Dada mi jg kanipita mnoo tuu but akuu twajilia vyetu vinono bt idnt support sana kama mwanake akiwa mkubwa saaana kuliko mwanaume
 
Last edited by a moderator:
Hapa utawajua tu wale walioolewa na wadogo zao, na wale waliooa dada zao.

Ni vyema mwanaume akamzidi mkewe umri japo miaka kadhaa.
 
Hapa utawajua tu wale walioolewa na wadogo zao, na wale waliooa dada zao.

Ni vyema mwanaume akamzidi mkewe umri japo miaka kadhaa.
hahahah!! we Asulo acha ugomv!! yan mtu aolewe na mdogo wake!! hahahha!! but nimependa hapo kwnye blue!!
 
Last edited by a moderator:
hahahah!! we Asulo acha ugomv!! yan mtu aolewe na mdogo wake!! hahahha!! but nimependa hapo kwnye blue!!

Siyo ugomvi dada kwani uongo? Utakuta bonge la mdada ana mume amemzidi miaka ka 5 hivi..sasa huyo si kaolewa na mdogo wake?
 
Last edited by a moderator:
Dada mi jg kanipita mnoo tuu but akuu twajilia vyetu vinono bt idnt support sana kama mwanake akiwa mkubwa saaana kuliko mwanaume

Yah,
kiukweli na kiuhalisia inabidi mwanamke awe na umri chini ya mwanamme.
Japo vijana wa cku hzi wanataka kutembea na 'mama zao'
halafu baadae waje kusema umri sio inshu.
But all in all,
Mwanamke shurti mwanaume akupite umri kidogo.
 

Nakubaliana na wewe kabisa!!!
 
chwit twin hujaonekana ck nyingi lol nimekumis kinomanoma umeniletea zawadi gani
 

thx wangu kwa kuwa nawe umeona kuwa umri ni minamba tu...jianaume linaweza kuwa kubwa(kama lile toto la aliyekuwa Waziri Mkuu enzi za Mwinyi, sijui linaitwa Wille) halafu upstairs lipo so inferior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…