Ipi ni shule Nzuri?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipi ni shule Nzuri??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mysteryman, Nov 8, 2011.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nina mdogo wangu wa miaka 9 kwa sasa anasoma st magreth kimara bweni, tatizo haipendi hiyo shule na anataka tumhamishe, so nilikuwa naomba kujua shule nyingine nzuri ambayo ni ya bweni na ina mazingira mazuri kwa watoto kwa hapa dar.......nitashukuru sana nikipata na adrres au contacts za shule.....natanguliza shukrani zangu
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Tanganyika int school.
   
 3. JS

  JS JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  anasoma darasa la ngapi kwanza??
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mpeleke tu shule ya msingi Mavurunza au Kimara B huko bweni ni kupoteza mapesa tu
   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Js mie nina shida hiyo hiyo na mwanangu ni msichana anaingia darasa la nne, kama una ushauri tafadhali, hivi sasa anasoma St, Anne Marie Kimara lakini nahitaji kumuhamisha
   
 6. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Kabla sijatoa wazo, naomba niulize sababu za kupeleka mtoto chini ya miaka 13 boarding school.
   
 7. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kuwaepusha na malezi ya ma-house girl teh teh.... Halaf hao hao ndo watakaopewa 100% mkopo chuo kabla wengine hamjafikiriwa...lol.
   
 8. JS

  JS JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jamani KK, kwa nini unamtesa mtoto?kwa nini usimpeleke shule ya kutwa??wewe kwani ulipelekwa boarding school ulivyokuwa katika huo umri?? binafsi nakushauri mpeleke day school ili uwepo katika nafasi yake ya malezi.maana katika hzo shule za kulala wanatoka huko na tabia za ajabu ajabu ambazo wewe kama mzazi ungeweza kumkanya kama ungekuwa unaishi naye nyumbani. hao walimu wa hizo shule hawana muda wa kuwapa malezi mazuri watoto wote lets say a class has like 100 students or a little bit less they dont care as long as mnawalipa pesa yao...sijui lakini maybe am wrong but that's my ushauri na nikipata mtoto (Mungu anijalie) nitahakikisha anaenda shule ya kutwa niwe nae all the time kumfunza tabia nzuri na kumsaidia katika homeworks zake.

  Kwa sababu naamini huo umri kuanzia chekechea mpaka darasa la saba ni crucial sana katika malezi ya mtoto (atleast thats how i was raised).

  Kuhusu shule hata sifahamu my dear endelea kucheki cheki humu jamvini utapata tu idea nzuri
   
 9. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Nyie mnaomba ushauri wa kutaka tuwatajie shule halafu pesa zenu haziwaruhusu kuwapeleka watoto wenu kwenye hizo shule nzuri,anyway mfano tu ni kwanza international ipo mikocheni kuelekea kwa mwalimu nyerere ukiwa unatokea tume ya sayansi na teknolojia.Hiyo ada yake ni US$ 6000 per year,nadhani hii ni miongoni mwa shule nzuri yenye kutoza kiwango kidogo cha ada.Kuna zingine kama east africa,feza international na IST.
   
 10. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na kwa maeneo ya tabata je? Zipo shule nzuri? Dogo yupo darasa la kwanza anaingia la pili....
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Shule za serikali zimejaa?
   
Loading...