hazel
Senior Member
- Feb 18, 2014
- 159
- 169
Mkuu unaweza nielekeza vizuri hii shule ilipo kama nataka kwenda chukua fomu
Ipo mafinga ni ya masista wako vzur sanaaa kwa upande wa sayans me my bby sis aliperfom vzur form four
Mkuu unaweza nielekeza vizuri hii shule ilipo kama nataka kwenda chukua fomu
Hii shule ipo Mufindi ukitoka Iringa unaenda na barabara ya Mbeya baada ya kumaliza mashamba ya miti Yale Mengi mbele kuna kituo kinaitwa Nyororo hapo pana njiapanda ya kwenda kiwanda cha Chai brookebond shule ipo ndani ya eneo la kiwanda ni Nzuri.Hii ipo maeneo gani miuu kama nataka kwenda kuchukua fomu
Hii shule ipo Mufindi ukitoka Iringa unaenda na barabara ya Mbeya baada ya kumaliza mashamba ya miti Yale Mengi mbele kuna kituo kinaitwa Nyororo hapo pana njiapanda ya kwenda kiwanda cha Chai brookebond shule ipo ndani ya eneo la kiwanda ni Nzuri.

[h=3]Sina uhakika ila contact zao hizi hapa unaweza wasiliana nao
BROOKE BOND SCHOOL MUFINDI[/h]P.O. Box 40, Iringa![]()
+255 (26) 2765068![]()
-
Shule ya kampuni ya chai ya Lugoda...Ila jipate ada ni 3 na kitu mil..Ukifika mafinga panda gari za kwenda Kibao then ukifika kibao utachukua bodaboda mwambie akupeleke Brookbond nauli buku au buku jero hadi skullHii ipo maeneo gani miuu kama nataka kwenda kuchukua fomu