Yenye L inamaanisha low power, yenye L voltage 1.35 na isio na L ni 1.5V sema yenye L inakubali kote kote na isio na L haikubali kwenye L
Vyema ram umechishe mkuu, sababu ram zinafanya kazi pamoja zina tabia ram yenye speed Kupunguza speed yake ili iendane na isio na speed. So hapo unaweza toa isio na L ukaweka yenye L mwenzake, pia Speed ikifanana itakua vyema japo kwenye ddr3 hili si muhimu sana.