ipi ni nzuri kati ya infinix note 3 na infinix hot s ?

gustavoo

Senior Member
Jan 8, 2017
119
138
wadau naomba kiujumla naomba mnijuze udhaifu wa hizi mobile phone naona ni brand geni sokoni
 
Attachments

  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    3 KB · Views: 136
  • images.jpg
    images.jpg
    3.5 KB · Views: 131
asanteni sasa nna infinix note3 kwa kweli ni nzuri mno sikutegemea labda ukubwa tuu ndo kero kidogo ila kwa chaji ni balaa inakaa haswaa ukiwa sio mtumiaji wa simu sana hata two days unaweza kaa na data on
 
Camera yake vp
 
Shilingi ngapi inauzwa boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom