Ipi ni maana halisi ya jipu na kutumbuliwa kwake kisiasa?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Kuna haja ya kufahamu maana halisi jipu na kutumbuliwa kwake.
Yawezekana hadi sasa hatujawahi kuwa na jipu wala mtu kutumbuliwa au kama wapo basi ni wachache kuliko inavyodhaniwa.

Maana tangazo huwa liko wazi mfano atapangiwa kazi nyingine au apishe uchunguzi ila huku mitaani tunaambiana kutumbuliwa.

Nani huwa yuko sahihi au nini maana ya kutumbuliwa au jipu?
 
Back
Top Bottom