Ipi ni FTA receiver bora zaidi

Ipi ni FTA receiver bora zaidi

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
752
Reaction score
154
Wanajamii naombeni kuuliza maana naona sasa kidogo imenichanganya, maana naambiwa receiver hii SRT 4922 ndo bora na wangine wameniambia kuwa hii Q23g ndo bora zaidi katika kureceive fta

So naombeni ushauri wenu na hasa kuzingatia uzoefu ipi ni bora zaidi katika kureceive FTA niko na dish dogo la dstv na latumia ku band
 
srt 4922 ni nzuri iwapo haujui kama kuna receiver kama AZSKY G6,QSAT lkn kama unajua ziko basi hauwezi kusema SRT 4922 ndo nzuri by the way kuna version ya strong kubwa kuzidi hiyo srt 4950 I guess ila sidhani kama zitampiku QSAT hata robo

Faida ya Qsat over strong decoders
1.Qsat supports CCcam without Freeze
2.Qsat has one more emulator i.e avatacamHD

Hasara ya Qsat
1.IPTV Nzuri lazima ulipie wakati srt 4922 nimesikia beinsports ziko free

iwapo hauangalii hizo feature nilizozitaja basi zote ni sawa maana ni MPEG4 na zina edit biss keys hivo channel kama irib za soccer utakula bure

waweza consider kusoma footer yangu pia ina vitu vinono utakavyofaidi ukiwa na Qsat/srt 4922(A)
 
jamani mwenzenu nina QSAT inaganda ganda sana na nimetumia kila aina ya modem na 3g ipo vizuri.
 
jamani mwenzenu nina QSAT inaganda ganda sana na nimetumia kila aina ya modem na 3g ipo vizuri.

Soma nakala yangu post #149 juu ya Double security
Kwa maneno mengine kama unatumia server moja ya AcamHD haitokusaidia sana ni vema uwe na double security ya CCcam
Mambo yakiwa mabaya AcamHD unaamia CCcam
GONGA HAPA POST #149
 
natumia cccam ila bado kwangu kero

Hakikisha uko updated na port mpya(hapa naongelea tv1 CCcam)

Kama bado inasumbua na username yako inatumia port zile zilizokua updated basi mwambie dealer wako atoe taarifa hiyo kwa Uongozi
Mm nimepewa account kadhaa jana zilikua zina hang kwenye connected/disconnected ila nimeripoti hilo na wamesema wata solve tatizo langu within 5hours za siku ya leo na kweli Account ziko poa sana sasa hivi
 
Back
Top Bottom