Ipi ni dawa ya wivu?

Duh! Nilishawahi kuwa na msichana mmoja ana wivu balaa!

Siku nakutana nae Posta Mpya nipo na msichana wa IFM si anataka kulianzisha bila kufahamu kwanini tulikuwa pamoja! Nikamwambia jaribu nikung'oe meno mbele za watu... akaogopa!

Kituko ni pale cjui nani alimwambia taarifa nusu nusu kuhusu ku-divert calls!! Sasa badala ya ku-divert kwenye simu yangu akatumia simu yake ku-divert ili eti awe anasikiliza simu zangu!! Duh! Usiku wa ile siku ilikuwa ni full kupokea simu za wanaume waliokuwa wanampigia!

Though alikuwa very faithful lakini nikapatia sababu hapo hapo! Hakuna kitu nisicho-entertain kama usumbufu kwenye mapenzi!!
 
Mliachana?
 
Mapenzi ya dhati yakizidi huonekana usumbufu kuna wadada wenzio wanatafuta hata mtu wa kumuuliza upo wap aliobaki nao wanagegeda tu....
To what extent hili lina ukweli?
 
Mliachana?
Haikuwa kuachana kama kuzima kwa kibatari lakini nilimwambia wazi kwamba I was completely unhappy na yale mapenzi... na kwa kweli nilikuwa unhappy!! Kwahiyo taratibu taratibu nikaanza kuhamisha aina ya mazungumzo yetu toka kwenye kimapenzi zaidi hadi kirafiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…