Ipi ni Combination nzuri?

Hata muuliza swali mwenyewe kauliza swali general sana. You must be specific unaongelea combination in terms of what?? Hivi karne hii bado tunaongelea masuala ya makabila. Mimi ni mtu wa kusini lakini mke wangu ni mbulu. Wakati natafuta mchumba nilikuwa siangalii upuuzi wa combination. Nilichozingatia ni mapenzi yangu kwake na yake kwangu, full stop! Mpaka leo ni mwaka wa nane ndoa yetu inadunda kama kawa! Mwenzangu anakula vya kusini nami nakula vya kaskazini, raha ilioje!
 
anao tayar kwenye ayo makabila aliyomention so anataka ajue WHERE TO MAJOR?

sina mchumba na hujanielewavzuri kwenye thread yangu, nimeuliza ipi combination nzuri kati ya hayo makabila matatu maana yote hayo nayahusudu saana
 
Makabila nchini yako zaidi ya 120!!kwa nini uwasemee hawa tu!!Dhambi ya ukabila nayo itatuua

umekuwa ADDICTED NA SERA ZA UKABILA KAKA, NA MIMI SIO MKABILA AS YOU THINK, NINACHOSEMA IPI COMBINATION NZURI NA SINA MPANGO WA KUOA BALI NAYAPENDA SANA HAYO MAKABILA MATATU
 
mchagua jembe si mkulima. Hakuna muoaji hapo.

nikihitaji kuoa sina haja ya kutangaza humu jf, na swali langu hukulielewa rudia kuisoma post yangu tena... Nayahusudu hayo makabila matatu.... Na nikasema hata kama nitatngaza nia ya kuoa ipi itakua combination nzuri?
 
Hata muuliza swali mwenyewe kauliza swali general sana. You must be specific unaongelea combination in terms of what?? Hivi karne hii bado tunaongelea masuala ya makabila. Mimi ni mtu wa kusini lakini mke wangu ni mbulu. Wakati natafuta mchumba nilikuwa siangalii upuuzi wa combination. Nilichozingatia ni mapenzi yangu kwake na yake kwangu, full stop! Mpaka leo ni mwaka wa nane ndoa yetu inadunda kama kawa! Mwenzangu anakula vya kusini nami nakula vya kaskazini, raha ilioje!

hukunielewa mkuu nadhani umekurupuka kuongelea ndoa yako kuliko kuielewa post yangu nilisema masuala ya Tabia na mambo yasiwe considerd, anyway ni mawazo yako nitayafanyia filtration..... sina ukabila nilichosema hayo makabila nayahusudu hata kama nikitangaza nia ya kuoa ipi itakua combination nzuri?...
 
unatafuta mchumba?

No sitafuti, bali nauliza hata kama nitaamua kutangaza nia ipi itakua combination nzuri\/ maana hayo makabila yote nayahusudu,
Anyway nimeipenda signature yako, msalimie Mr President
 
hukunielewa mkuu nadhani umekurupuka kuongelea ndoa yako kuliko kuielewa post yangu nilisema masuala ya Tabia na mambo yasiwe considerd, anyway ni mawazo yako nitayafanyia filtration..... sina ukabila nilichosema hayo makabila nayahusudu hata kama nikitangaza nia ya kuoa ipi itakua combination nzuri?...

Ukiona mtu anazungumzia combination ujue huyo mtu hajatambua kupenda maana yaje ni nini!! Mtu akipenda sijui kama atakumbuka kitu kinachoitwa combination.
 
Wemskuma mwenzangu vipi chagola ngocha oyo ontokwile. lakini lolo hange olenabho badato olenakazi ngoi hamo osole akamoshi, ila akatanga bwokoshiheja na ak dakama natadebhile lolaga nanho lakini kamoshi tochoji

Oyomba nkoyi, lakini natale naleholeho nkoyi, lakini nalugemaga kupandeka mawazo abanhu...
 
Hello wapenzi wa forum hii.
Nilikuwa nauliza swali na nina imani nitasaidiwa, mimi kabila langu ni msukuma , na nimekua nikivutiwa sana na makabila ya wanyakyusa, wapare, wasambaa, Je kama siku nikitaka kutangaza nia yakutaka kuoa, combination ipi itaendana na mimi?..
Suala la tabia na mambo mengine naomba yasiwe considered ninachotaka kuuliza kwenu ni comination ipi nzuri? Ikiwezekana toa na sababu
Msukuma vs Mpare?
Msukuma vs Mnyakyusa?
Msukuma vs Msambaa?

Maswali mengine, upupu mtupu!
 
usichaguwe kabila ndugu, tafuta atakaye kubali kuendesha maisha ya utulivu, kusikilizana, mapenzi na kushirikiana - that's it bro.
 
msukuma vs mpemba ndo nzuri. mmoja anapenda samaki na wali, mwingine anapenda ugali mkubwa na mboga kidogo...hapo sasa...
 
sina mchumba na hujanielewavzuri kwenye thread yangu, nimeuliza ipi combination nzuri kati ya hayo makabila matatu maana yote hayo nayahusudu saana

Unayahusudu wakati huna mtu huko??? Je ukayahusudu halafu ukakosa huko binti wa kukupenda?? Na kama una mtu tayari kila sehemu huoni kama wewe ni cheater, you cheat them all??

Haya combination nzuri ni ile iliyotoka kwa Mungu. Kwamba Mungu ndiye aliyehusika kuwaunganisha. Iwe mchagga na mhaya au Mnyaki na Mchaga ilimradi Mungu ahusike tu.
 
Back
Top Bottom