Ipi ni combination nzuri kati ya HGE,HGL na HKL

Nen
habari
ndg
naomba kupewa msaada apa wakuu naitaji kwenda kusoma form v nimepata Hst c geo d math c engl b kiswahil b civics c biology d nilikua nadhani kuwa HGE iko sawa ila nikaona niwasilishe kwa wadau kwanza mnipe mawazo na nini cha kufanya hasa tukiangalia swala la ajira na fact za chuo kikuu
asanten
nawasilisha kwenu ndg
Nenda HKL tuuh kapige mwamba chamusingi umefaulu vizuri mathe ukifika chuo unaweza soma business administration ambayo pia HGE anaweza soma iyo coz pitia njia nyepesi piga HKL ajila zitaeleweka mbele kwa mbele kama unataka ajila fasta kasome coz za afya ngazi ya diploma kama radiology nimoja ya coz tamu sana huku chuo tunaita hote cake ukimaliza ajila nje nje......
 
Hapo hapo naomba nikuulize kakaangu, kwamba Kama maths nilipata "f" alafu masomo mengine no kapata c kwenda juu, hivyo naweza Nikasoma hiyo radiology nikifika chuo,Ila Sasa hivi nimeenda kusomea comb ya HGL advance
 
Radiology vigezo O'level C ya chem ,C ya bio ,and D ya phy , hiii coz ipo bugando tuuh competition ni kubwa Sana Kuipata inaitaji nguvu ya ziada I hope umenielewa
 
Unajua usilazimishe kusoma comb flan kwasababu ya kutafuta ajira soma kitu ambacho unakiweza na unakipenda from the bottom of your heart kwasababu utafaulu vizuri ukisha faulu vizuri taa zote zinawaka na utakipata tu kitu cha kwenda kukisomea.
 
Mkuu nafasi ya kusomea hiyo course yw radiology kwa MTU aliyemaliza form 6! Anatakiwa awe na qualification gani??
 
Unajua usilazimishe kusoma comb flan kwasababu ya kutafuta ajira soma kitu ambacho unakiweza na unakipenda from the bottom of your heart kwasababu utafaulu vizuri ukisha faulu vizuri taa zote zinawaka na utakipata tu kitu cha kwenda kukisomea.
Sawa kaka nimekuelewa,Ila nina swali , kwamba nikisoma HGL advance, alafu nikaenda kusoma archeology ili niwe archeologist na Kama wanahitaji biology hapo,naweza Nikasoma hiyo kwasababu nilifaulu biology form 4 ety? naomba unisaidie hapo kaka
 
Unajua usilazimishe kusoma comb flan kwasababu ya kutafuta ajira soma kitu ambacho unakiweza na unakipenda from the bottom of your heart kwasababu utafaulu vizuri ukisha faulu vizuri taa zote zinawaka na utakipata tu kitu cha kwenda kukisomea.
Ushauri kuntu kwa vijana.
 
Back
Top Bottom