Balungi
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 234
- 162
Naomba kujuzwa, ipi ni betri mzuri kwa matumizi ya umeme jua kati ya zile kavu na za maji??
Napata mkanganyiko kwa sababu kuna mtu ameniambia betri kavu si mzuri kwa vile hazina mbadala na zile za maji zikipungua nguvu unaongeza maji tu, upi ni usahihi ndugu zangu maana nataka kununua betri.