IPI NI BEST RINGTONES YAKO;

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
Habari zenu wadau...,Lengo la huu uzi nikujulishana na kushare the Best ringtone,au ka (Wimbo) kwenye simu, uliyoiseti ambapo ukipigiwa unatamani uache kawimbo kaite kwa muda kidogo then ndo upokee..,

Mimi naanza na song of; Mercy chinwu (Chinenubo)
 
Ringtone ya iphone
 
Acha Waisome Namba Eeh!! Ccm Mbele Kwa Mbeleee!!.🎧🎸🎻🎺🎷🎹🎼🎀

Ngoma Kutoka Lumumba Music.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…