Ipi ni App nzuri ya power saving?

Ipi ni App nzuri ya power saving?

Sasa wewe unaelezea kazi zake afu unasema hazina maana,
how long you gonna control those brightness and automatic data consumption ?

mkuu snipa naona hukumuelewa KisomaX amesema kuwa hazina umuhimu kwa sababu kazi ambazo zinafanya hata wewe binafsi pia unaweza fanya
 
Last edited by a moderator:
mkuu snipa naona hukumuelewa KisomaX amesema kuwa hazina umuhimu kwa sababu kazi ambazo zinafanya hata wewe binafsi pia unaweza fanya


Wewe mkuu umenielewa. Akhsante sana. Huyo niliona ana mlengo wa ubishi ktk vitu visivyo na maana..... I just ignored it. Ila wewe chukua 👍👍👍👍👍
 
Last edited by a moderator:
mkuu snipa naona hukumuelewa KisomaX amesema kuwa hazina umuhimu kwa sababu kazi ambazo zinafanya hata wewe binafsi pia unaweza fanya

Hujaielewa sentensi hii

how long you gonna control those brightness and automatic data consumption ?

isome vizuri na uilewe.
 
Last edited by a moderator:
Ni kutafuta urahisi tu, wakati mwingine huwezi kuitoa simu kila baada ya nusu saa kuwasha data kuangalia email mpya, mitandao ya kijamii n.k, program nzuri mfano Juice Defender Ultimate inafanya yote hayo kwa ajili yako, japo pia unaweza kuhifadhi moto zaidi kwa ku modify vitu kadhaa kwenye build.prop na kuweka uwezo wa init.d kwenye cm yako na kuweka scripts ambazo zinafanya vitu kadhaa automatiki kila unapoiwasha simu.
 
Back
Top Bottom