Ipi ni aibu zaidi???

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Ipi ni Aibu Zaidi??

1. Kufumaniwa ukiwa na mke wa mtu.

2. Kwenda na demu Hotel na kulipia chumba Tsh 50,000/ halafu dushelele inagoma kusimama.

3. Kukamatwa ukiwa unavunja amri ya 6 na Mwanafunzi na wewe ni Mwalimu Mkuu.

4. Kumpa mimba mtoto wa dada yako.

5. Kukamatwa ukiwa unawanga kwenye makabuli na hali wewe ni mzee wa upako..
 
Najaribu kuvuta picha kisha nilinganishe.
 
bora hiyo ya pili haitokuletea matatizo,unaweza ukapanga mechi siku nyingine,lakin hizo za kufumaniwa unaweza ukadedishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…