Ipi ladha ya tendo la ndoa?

Ipi ladha ya tendo la ndoa?

Yani ni kama vile unakula tikiti maji lililoiva vizuri lenye ubaridi kabla haujamaliza unapewa kaugali laini na kasato kakukaanga kenye pilipili au kambuzi choma baada ya hapo unachushia mango juice.Kabla haujatoka mezani unapewa kamzinga ka red lebel kameng'enye chakula nadhani umeelewa huo utamu
Amekuelewa
 
Pole sana mkuu ,ila siku ukipata utueleze pia unaweza kuwauliza wenzio wakaelezea raha yake.Kisayansi naweza kusema raha yake haielezeki ila kwa mwanaume orgasm last for 6 to 8 seconds for men while women climax last for 16 -20 seconds.
 
ushawahi kuwa na kiu ukanywa maji, je unapata raha gani

kuna vitu ni vigumu kusimulia, maana wengine hulia kama bata, tumbili, huchana godoro na kumkaba mwenzake zote raha tu.

lakini hizi raha ni kwa wateule wachache wengine mtapata raha dunia ijayo.
Teh teh teh
 
miss chaga kila nikiapply comment yako inanigome, Hilo ulilolisema ndilo nililolitaka yawezekana matatzo yakawa yanafanana kwahiyo inabid ulitatue tatzo kupitia kwawatu ambao walishapitia hilo tatizo. Inabidi kwanza ujitambue kuwa we nigirl naumeamua kuingia kwenye mahusiano so inabidi uwe muwaz kwamwenzio naumwambie vile unavyojisikia ili ajue jins gan ukusaidie kuliko kuendelea kuwa bubu, wakat mapenz niyawawili
 
Back
Top Bottom