Ipi ladha ya tendo la ndoa?

Ipi ladha ya tendo la ndoa?

Ulishawahi Kufanyiwa haya au ushawahi fanya

*Kubakwa
*Umalaya

Au ulitolewa bikra Ukiwa na Mawazo ya Siku ya Kwanza Unaumia
 
kuna mwanaume hapa huwa anaumia wakati wa kugegedana?anyooshe kidole
 
ushawahi kuwa na kiu ukanywa maji, je unapata raha gani

kuna vitu ni vigumu kusimulia, maana wengine hulia kama bata, tumbili, huchana godoro na kumkaba mwenzake zote raha tu.

lakini hizi raha ni kwa wateule wachache wengine mtapata raha dunia ijayo.
 
Hao wanaolia kama bata na tumbili wametishaaaaa,

Hlf huo mstari wa mwisho kbs umenivunja mbavu.
 
Mi naona kuhonga ili kupata tendo la ndoa sio vema inakuwa biashara pia nashauri watu wapendane na wapeane kwa raha zote pia kila mmoja atambus sehemu za kumshughulikia mwenzake zenye kuleta msisimko
 
Yani ni kama vile unakula tikiti maji lililoiva vizuri lenye ubaridi kabla haujamaliza unapewa kaugali laini na kasato kakukaanga kenye pilipili au kambuzi choma baada ya hapo unachushia mango juice.Kabla haujatoka mezani unapewa kamzinga ka red lebel kameng'enye chakula nadhani umeelewa huo utamu
 
Back
Top Bottom