Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,141 20,787 Dec 4, 2017 #3 Ya UDSM mkuu... Hiyo ya tofali ya kuchoma ni mpaka wa Mzee John na Dogo Daudi.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,845 Dec 4, 2017 #4 Mwabhleja said: Click to expand... Mainjinia wetu watakwambia ya pili
Mzee wa hat-trick JF-Expert Member Nov 21, 2016 1,730 2,388 Dec 4, 2017 #6 Daaah, watu wachokozi...!!!
mwayungi JF-Expert Member May 9, 2017 1,814 3,078 Dec 4, 2017 #7 Mkuu hiyo kwanza inaonesha expansion joint hiyo ya pili ni crack ujuzi kutoka VETA
Mwabhleja JF-Expert Member Jan 27, 2016 1,351 2,058 Dec 4, 2017 Thread starter #8 mshana jr said: Mainjinia wetu watakwambia ya pili Click to expand... Mwakalinga anatakiwa kuja huku atupe majibu kabisaa
mshana jr said: Mainjinia wetu watakwambia ya pili Click to expand... Mwakalinga anatakiwa kuja huku atupe majibu kabisaa
Ziroseventytwo JF-Expert Member Mar 27, 2011 7,979 13,631 Dec 4, 2017 #10 Nakwambia hawa jamaa saa hizi mitumbo joto. Kuanzia contractor, mpaka sijui nani hawaponi kwa mkulu. Ni muda tu
Nakwambia hawa jamaa saa hizi mitumbo joto. Kuanzia contractor, mpaka sijui nani hawaponi kwa mkulu. Ni muda tu
Mwabhleja JF-Expert Member Jan 27, 2016 1,351 2,058 Dec 4, 2017 Thread starter #11 mwayungi said: Mkuu hiyo kwanza inaonesha expansion joint hiyo ya pili ni crack ujuzi kutoka VETA Click to expand... Ahsante kwa maoni yako kutoka VETA
mwayungi said: Mkuu hiyo kwanza inaonesha expansion joint hiyo ya pili ni crack ujuzi kutoka VETA Click to expand... Ahsante kwa maoni yako kutoka VETA
Z ZE NDINDINDI JF-Expert Member Sep 19, 2016 1,885 4,010 Dec 4, 2017 #12 expansion joint za bongo zinaendana na kasi ya mheshimiwa Rais
Mwabhleja JF-Expert Member Jan 27, 2016 1,351 2,058 Dec 4, 2017 Thread starter #13 ZE NDINDINDI said: expansion joint za bongo zinaendana na kasi ya mheshimiwa Rais Click to expand...
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,558 25,323 Dec 4, 2017 #15 Mwabhleja said: Click to expand... Mpaka slab ime crack? Ratio ya zege ilikuwa 10.
Bashatu JF-Expert Member Nov 8, 2015 834 885 Dec 4, 2017 #16 Ziroseventytwo said: Nakwambia hawa jamaa saa hizi mitumbo joto. Kuanzia contractor, mpaka sijui nani hawaponi kwa mkulu. Ni muda tu Click to expand... Kama watakuwa hawajakimbia nchi
Ziroseventytwo said: Nakwambia hawa jamaa saa hizi mitumbo joto. Kuanzia contractor, mpaka sijui nani hawaponi kwa mkulu. Ni muda tu Click to expand... Kama watakuwa hawajakimbia nchi
shungurui JF-Expert Member Sep 1, 2008 3,765 5,154 Dec 4, 2017 #18 Hao watalaamu walisahau kuweka hizo expansion joint, sasa naona hayo ndio majibu yake, sasa watu wanajenga kwa pressure unategemea nini.
Hao watalaamu walisahau kuweka hizo expansion joint, sasa naona hayo ndio majibu yake, sasa watu wanajenga kwa pressure unategemea nini.
Mwabhleja JF-Expert Member Jan 27, 2016 1,351 2,058 Dec 4, 2017 Thread starter #19 JEKI said: Lakini yalizinduliwa kwa mbwembwe. Click to expand... Masifa yataua vijana wetu siku za usoni tusipokuwa makini
JEKI said: Lakini yalizinduliwa kwa mbwembwe. Click to expand... Masifa yataua vijana wetu siku za usoni tusipokuwa makini